Shy land
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 6,245
- 2,856
Asilimia kubwa ya viongozi walioko CCM ni wasakatonge tu.
Maana kama kipindi hicho chote wameshidwa kuikomboa nchi yetu kwenye umasikini.
Eti leo tena unaenda kwa wanainchi unaomba akupe kura ili uwanyaje?. kama kipindi hicho chote umeshidwa.
Tofouti na kutafuta nafasi ili muimbe vizuri natural resource za nchi. mnatafuta nini?
Swali moja tu kwa wanaccm anayepingana na hoja yangu hapo juu.
(i)Kwa nini taifa la Tanzania ni masikini sana kuliko kenya ili hali tuko ukanda mmoja, ni kitu gani wanachotuzidi wakenya hadi wawe na uchumi mkubwa kuliko sisi?. ni kwa nini bangi na madawa ya kulevya hukamatwa mara nyingi sana jiani yanapokuja dar es salaam., hizo pembe za dovu huwanga zinapita barabara za wapi hadi kufika bandarini?.