Asilimia 99 ya wanawake wanajiuza...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Asilimia 99 ya wanawake wanajiuza...!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by ndiyomkuusana, Sep 28, 2012.

 1. ndiyomkuusana

  ndiyomkuusana JF-Expert Member

  #1
  Sep 28, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 627
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  kuna jamaa yangu alinielezea kwamba, %99 ya wanawake wanajiuza, Wengine Directly others Indirecty aliendelea kueleza kwamba, Directly ni wale ambao wanajiuza barabarani wakisubili wateja wao,Indirectly ni wale ambao wanampenda mwanaume kwa sababu ana kitu fulana ,inaweza ikawa anapesa au ana Cheo fulani au anafanya kazi nzuri hawa ni wale ambao ukifilisika mapenzi yanapungua kama sio kuisha kabisa,na ndoa inaanza kuwa mguu pande.

  Aliendelea kuelezea kwamba watu kama hawa hata ukitoka naye out ,pamoja kwamba naye anafanya kazi hata hachangiii hata senti tano,sometimes anatoa lakini baada ya hapo lazima akupige mzinga kama sio siku hiyohiyo basi siku nyingine.aliendelea kueleza kuwa wanawake /wadada wa namna hii wapo wengi maofisini na vyuoni na baadhi kwenye ndoa.

  Akasema %1 ya wanawake wana mapenzi ya kweli anaweza kukupenda hata kama hauna kazi au hata kama kipato kimepungua,na ukifukuzwa anakuwa anauzunika sana na anakuwa karibu sana na wewe . hata kama wote mnafanya kazi basi kusaidiana kunakwepo kutegemeana na uwezo wa kipato cha mwenzake.

  Kwa kweli nilimbishia jamaa yangu, nikamwambia asilimia hiyo 99 ni kubwa mno naomba upunguze akasema hawezi punguza hiyo ndiyo fact, sasa wakuu naomba comments zenu juu ya suala hili je kweli.Wakina kaka na wakina dada naomba tusaidie juu ya suala hili kama ni kweli ,karibuni..
   
 2. k

  kisukari JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,760
  Likes Received: 1,050
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo?ukisema hivyo,ina maana unawasema hata dada zako,au ndugu zako wa kike.jee mnashikwa mashati kutoa hizo hela?au mnazitoa wenyewe?
   
 3. ndiyomkuusana

  ndiyomkuusana JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 627
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  Ndugu kisukari, kwa kweli sina uhakika kuhusu dada zangu, labda mabwana zao ndiyo watadhibitsha hilo kwamba wapo kwenye %99 au wapo kwenye %1, asante sana.
   
 4. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #4
  Sep 28, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Punguza jazba Dada halafu elewa mada, kuna ukweli fulani kwenye hili, ila Wanawake waliopo kwenye ndoa na ambao hawasaliti ndoa zao hawausiki na mada hii, lakini wadada ambao wapo single kitendo cha kutembea na mume wa mtu ni kujiuza tu wala hakuna lugha nyingine au kusema ni mapenzi, pale ni msako wa pesa tu.
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Sep 28, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Wana price tag?
   
 6. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #6
  Sep 28, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  ndiyomkuusana fulani kasema alikupa nakata ya huo utafiti? Hakuna mtu anayependa maisha ya kubahatisha hata sisi wanaume tukumfunguliwa mke biashara halafu ikayumba mapenzi nayo hupungua kwa wake zetuu, jee na sisi tunajiuza kwa kuwachukia wake zetu pale wanapokata mitaji ya biashara za familia?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #7
  Sep 28, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  i do concur....maana siku hizi ukitaka upate goma lazima ukubali mizinga hilo la kwanza kabisa. pili ata ukitaka kuoa wazazi watakuuliza una nini na unafanya nini?
  mie nacho shauri ni wee usijali kuhusu wao kujiuza indirectly...la msingi hapa ni kumega na kuenjoy. ukichoka una mbwaga tuu
   
 8. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #8
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,189
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Utafiti tafadhali hii ya 99% ni ualakini.
   
 9. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #9
  Sep 28, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Huwezi kuuza bidhaa pasipo wayeja,kwa asilimia hizohizo hata sisi wanaume ni wanunuzi wazuri
   
 10. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #10
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Wengi wa wanawake wapo kimaslahi zaidi..according to my experience too..
  But to be specific i cant mention the percentage..ila 99% sounds a bit too much..
   
 11. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #11
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  kwahiyo 99% ya wanaume wananunua?
   
 12. N

  Neylu JF-Expert Member

  #12
  Sep 28, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 2,650
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mtoa mada, huyo aliyekupa hiyo percentage, amekwambia utafiti wake aliufanyia nchi gani? Naogopa kupingana na hiyo 99% kwa sababu sijui anaongelea wanawake wa nchi gani...! Ila kama anaongelea TANZANIA.... Napingana nae KWA HERUFI KUBWAAA..!
   
 13. R

  Ramos JF-Expert Member

  #13
  Sep 28, 2012
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hii ina point, ingawa ukitumia neno 'wanajiuza' watakuparua hapa...
  Wanawake wa maofisini ni malaya kuliko hata wale wa club ambience...
   
 14. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #14
  Sep 28, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  absolutely true! hivi jamani kuna muuzaji asiye na mnunuzi????????
   
 15. R

  Ramos JF-Expert Member

  #15
  Sep 28, 2012
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hapana... Mwanaume mmoja ananunua kwa zaidi ya mmoja. Upo hapo?
   
 16. R

  Ramos JF-Expert Member

  #16
  Sep 28, 2012
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mi nanunua kwa wanne... so ni kama 25% ya wanaume ndo wanunuaji...
   
 17. Root

  Root JF-Expert Member

  #17
  Sep 28, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,285
  Likes Received: 12,997
  Trophy Points: 280
  heheh price tag on their body morphology
   
 18. O

  Olem New Member

  #18
  Sep 28, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  It is all the school of thought, but everything is business, even the relationship is the the business; where we invest our time, money, energy, skills and many other resources. Some women are in the market for sale (they are marketing themselves all the time) but some women are there for unconditional love. The only thing I hate the most is when what you have bought get out of your hands by force because you are now poor.
   
 19. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #19
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,788
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  ni kweli kabisa mkuu,mambo yakikuendea kombo wife atakua anakupa mgongo kitandani hana upendo tena
   
 20. N

  Nyumbu- JF-Expert Member

  #20
  Sep 28, 2012
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 969
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  Mhubiri anaema: Katik wanaue mia aliona mmoja mwenye busara ,katitika wanawk1000 hakona hata mmoja!
  So hio 99% ni ndogo, weka hivi:100% yao wanafanya hivyo, including mke wa Mugabe, Mswati, Muluzi, Xuma na mmoja wa hapa Africa Mashariki alisababisha Mwanamuziki kupelekwa Lupango Maisha.....to mention a few of high calibre!
   
Loading...