Asilimia 99 ya wanawake wanajiuza...!

mada ina ukweli mwingi sana ila 99% ni makadirio ya juu sana...i think ni 70% hivi ndio wana tabia hizo
 
Punguza jazba Dada halafu elewa mada, kuna ukweli fulani kwenye hili, ila Wanawake waliopo kwenye ndoa na ambao hawasaliti ndoa zao hawausiki na mada hii, lakini wadada ambao wapo single kitendo cha kutembea na mume wa mtu ni kujiuza tu wala hakuna lugha nyingine au kusema ni mapenzi, pale ni msako wa pesa tu.
kuna ambao wapo ndoani na hawasaliti lakini wapo sababu ya pesa za mume.
kuna ambao wapo ndoani na wanasaliti lakini hawafwati hela huko nje, wala power wala chochote, ni kazi moja tu. hawa wanakuwa kundi gani?
 
nafikiri ndo maana yake,biashara bila mnunuzi inatokaje!mh mbona kazi jamani !
kwa hiyo kama 99% ya wanawake, kuna 99% ya wanaume pia ni wanunuzi...........................
sijui mume wangu yupo kwenye 99% au 1%, (naogopa kuusemea moyo) lol!
hebu akina Asprin The Boss platozoom (mtani wangu) Kongosho (sijui hapa ni mnunuzi au muuzaji!), naomba majibu kuhusu status zenu
 
Last edited by a moderator:
kwa hiyo kama 99% ya wanawake, kuna 99% ya wanaume pia ni wanunuzi...........................
sijui mume wangu yupo kwenye 99% au 1%, (naogopa kuusemea moyo) lol!
hebu akina Asprin The Boss platozoom (mtani wangu) Kongosho (sijui hapa ni mnunuzi au muuzaji!), naomba majibu kuhusu status zenu

Mimi sinunui, nakopa......na kwa mujibu wa utafiti wa huyu mleta mada mie simo!
 
kila kitu in life sometimes ni tafsiri tu....
sasa ukileta tafsiri ya kuwa chochote tunachokifanya ni kwa ajili ya kipato
utakuja kujikuta hata wewe ni 'malaya' wa aina fulani..

jiulize hili mtu anasoma ili apate kazi....na anafanya kazi ili apate kipato
je wote wanaofanya kazi kwa kipato ni 'malaya wa aina fulani'?
 
Ingawa kuna aina ya ka ukweli ila kuna ka tatizo pia kwenye huo ugunduzi wa jamaa yako!
 
Punguza jazba Dada halafu elewa mada, kuna ukweli fulani kwenye hili, ila Wanawake waliopo kwenye ndoa na ambao hawasaliti ndoa zao hawausiki na mada hii, lakini wadada ambao wapo single kitendo cha kutembea na mume wa mtu ni kujiuza tu wala hakuna lugha nyingine au kusema ni mapenzi, pale ni msako wa pesa tu.

Nakuunga mkono hapo . . . . .!!
 
Hii ina point, ingawa ukitumia neno 'wanajiuza' watakuparua hapa...
Wanawake wa maofisini ni malaya kuliko hata wale wa club ambience...
Phweeeeeeee! Hebu ngoja tuwasikie wenyewe wanasemaje katika hili.....naamini wengi wa jf ni wa maofisini!
 
i do concur....maana siku hizi ukitaka upate goma lazima ukubali mizinga hilo la kwanza kabisa. pili ata ukitaka kuoa wazazi watakuuliza una nini na unafanya nini?

Kijana.. Una Tembo Card MasterCard??


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ungemalizia na hiyo 1% mkuu,
Hata Mungu alisema tuishi na hawa jamaa kwa umakini sana, maana alishawajua mwenyewe alivyowaumba!!
 
Mtoa mada, huyo aliyekupa hiyo percentage, amekwambia utafiti wake aliufanyia nchi gani? Naogopa kupingana na hiyo 99% kwa sababu sijui anaongelea wanawake wa nchi gani...! Ila kama anaongelea TANZANIA.... Napingana nae KWA HERUFI KUBWAAA..!

Si lazima iwe nchi nyingine, Inategemea na sample size yake na pia aliichukua wapi hiyo sample. Selection ya sample na sample size in matter sana kwenye kutoa conclusion, imagine kama research aliifanyia corner bar au jolly club, majibu yatakuwaje? Au alifanya random sample kwa watu wachache? unategemea nini?
 
Mazafanta mkubwa weee! Ndo umeona ujue ulete UNYANYAPAA wa kijinsia humu? Basi kwa taarifa yako, mwanamke wala HATUJIUZI BABU WEE! TUNANGANGANIZWA KUNUNULIWA! Wanaume hamriziki, mkipewa kosa, mkinyimwa kosa! Wengi wenu isingekuwa huruma yetu, mngekufa very LONELY people. Wenyewe mnajijua pale yupo mwenzangu na wewe watumbukia, tena UNASHUKURU KAFUNGUA NJIA KITOTO CHAANZA TAMBAAA! Nitue mie mchana wote huuu! Ngoja nihudumie wateja, manake lifoleni hilo!!!!
 
mleta maada uko sahihi na kuunga mkono maana wanawake wengi niliokaa nao karibu ukiwasikiliza au ukiangalia ndoa zao wanaishi kwa sababu ya kipata, wadhifa, wa mmewe na siku zikitoweka wao ndio wakwanza kusepa
 
Back
Top Bottom