Utaishia kufungua thread huku wenzio wanabadili magari.[emoji3] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji3] .
Povu halilipiwi.. Mm nishamaliza yangu.
Soon nakuja na thread nyingine kwa wenye vijimagari.
Ni ya mikopo ambayo imeshamaliza kulipiwa.Kama kawaida ukizungumza ukweli unaitwa Hater.
Nimekaa nikatafakari hizi mbwembwe za hawa binadamu huku na magari yao na hizi mvua na namna wanavyorushia watu maji, ila ukichunguza vyema 90% hayo magari ni ya mkopo either kutoka kwa waajiri wao ama vinginevyo.
Tena mengi yao hayana hata bima kubwa, mbwembwe kibao.
Nangoja kuitwa Hater .
Povu pia linaruhusiwa.
Mwenzetu unatoa wapi TAKWIMU hizo za 90%?Kama kawaida ukizungumza ukweli unaitwa Hater.