Una tatizo na mtu akikopa akanunua usafiri?Kama kawaida ukizungumza ukweli unaitwa Hater.
Nimekaa nikatafakari hizi mbwembwe za hawa binadamu huku na magari yao na hizi mvua na namna wanavyorushia watu maji, ila ukichunguza vyema 90% hayo magari ni ya mkopo either kutoka kwa waajiri wao ama vinginevyo.
Tena mengi yao hayana hata bima kubwa, mbwembwe kibao.
Una tatizo na mtu akikopa akanunua usafiri?
Ungeisha South Africa au ulaya usingebeza watu wenye magari ya mkopo
Kama kawaida ukizungumza ukweli unaitwa Hater.
Nimekaa nikatafakari hizi mbwembwe za hawa binadamu huku na magari yao na hizi mvua na namna wanavyorushia watu maji, ila ukichunguza vyema 90% hayo magari ni ya mkopo either kutoka kwa waajiri wao ama vinginevyo.
Tena mengi yao hayana hata bima kubwa, mbwembwe kibao.
Nangoja kuitwa Hater .
Povu pia linaruhusiwa.[/QUOTE/]
Kuna uwezekano wewe unawacheka waliokopa magari lakini unaenda kukopa unga kwa mangi. kwa kuwa mkopaji analipa mkopo wake mwenyewe basi wewe pambana na hali yako tu.
Sasa kama gari lake ni la mkopo tatizo liko wapi? Amekuomba umsaidie kulipa? Hivi bima(comprehensive) sio moja ya masharti ya magari ya mkopo?Kama kawaida ukizungumza ukweli unaitwa Hater.
Nimekaa nikatafakari hizi mbwembwe za hawa binadamu huku na magari yao na hizi mvua na namna wanavyorushia watu maji, ila ukichunguza vyema 90% hayo magari ni ya mkopo either kutoka kwa waajiri wao ama vinginevyo.
Tena mengi yao hayana hata bima kubwa, mbwembwe kibao.
Nangoja kuitwa Hater .
Povu pia linaruhusiwa.
hehehe umenikumbusha juzi nimerusha maji banaNenda kakope na wewe urushe maji
Barabara gani hio?🙂🙂hehehe umenikumbusha juzi nimerusha maji bana
[emoji3] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji3] .Kumiliki "used toyota car" ni symbol tosha ya umaskini
Tayari uzi wa pili huu unalalama kuhusu magari ya watu wengine as if unawadai. Utakufa kwa kiroho-papo na roho kondefu. Na kama we ni wa kiume jitathmini hasa
we! mtoto wa kike hili neno sio nzuri kali sanaNenda kakope na wewe urushe maji
Inawezekana ulimrushia mleta uzi....hehehe umenikumbusha juzi nimerusha maji bana
kupanga ni kuchagua.Kama kawaida ukizungumza ukweli unaitwa Hater.
Nimekaa nikatafakari hizi mbwembwe za hawa binadamu huku na magari yao na hizi mvua na namna wanavyorushia watu maji, ila ukichunguza vyema 90% hayo magari ni ya mkopo either kutoka kwa waajiri wao ama vinginevyo.
Tena mengi yao hayana hata bima kubwa, mbwembwe kibao.
Nangoja kuitwa Hater .
Povu pia linaruhusiwa.
member mmoja humu ahah unapoteaaInawezekana ulimrushia mleta uzi....