unprejudiced
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 3,503
- 2,870
Oya unaleta za wapi hizo? Asilimia 67 sio mchezo ujue, yaani katika watu wanne mmoja anao? Acha zako
Una hoja nzuri lakini unaichafua kwa kuirushia tope la siasa!Hili ni lile gazeti linalomilikiwa na Mwenyekiti wa Chama ambaye elimu yake haieleweki vizuri.
Limekuja na habari hii ya kwamba watanzania asilimia 67 wanatumia ARV.
Wakijidai kumquote waziri wa afya.
ExactlyHujasoma habari, 67% ya walioathirika ndo wanatumia dawa
yukoHili ni lile gazeti linalomilikiwa na Mwenyekiti wa Chama ambaye elimu yake haieleweki vizuri.
Limekuja na habari hii ya kwamba watanzania asilimia 67 wanatumia ARV.
Wakijidai kumquote waziri wa afya.
Hawa lumumba huwa wakishapewa buku 7 wanaacha na akili hapohapo. Bure kabisaExactly
Hapa si uchama Bali ni taarifa ya waziri ummy Mwalimu mbona kila kona ushabiki.yuko
Sahihi sema tu gazeti halikueleza hao watanzania asilimia 67 wanaotumia ARV Ni WA chama gani wamesahau kuandika wanachama wa Chadema. Pasomeke hivi Asilimia 67 ya watanzania ambao ni wanachama wa chadema wanatumia ARV. Muombe moderator akubadilishie heading. It a minor correction. Atakubali tu