Asilimia 67 ya watanzania wanatumia ARVs

hazole1

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
4,319
Reaction score
3,919
7b24db432f260ffb11ec55aeb48abcce.jpg
 
Mwandishi wa habari hii hakutaka hata kutumia akili ya darasa la saba.

Prevalence ya ukimwi inatakiwa akokotoe kutoka watu 1.4 million aloyoandika wana maambukizi ya ukimwi.

Labda kama hiyo 67% ni idadi ya waathirika wanaotumia ARV.

Tumuombe Dr Abas atoe press kumuomba mwandishi akanushe uzushi wake la sivyo achukulie hatua kuandika habari ya uongo.

Hakuna nchi duniani wanaoumwa ukimwi wakafika 67% na haitatokea.
 
Kwa hiyo watu m27 wamekanyaga waya, dah sizani yani katika watu 10 watu 7 wameathirika?!!
 
Mwandishi wa habari hii hakutaka hata kutumia akili ya darasa la saba.

Prevalence ya ukimwi inatakiwa akokotoe kutoka watu 1.4 million aloyoandika wana maambukizi ya ukimwi.

Labda kama hiyo 67% ni idadi ya waathirika wanaotumia ARV.

Tumuombe Dr Abas atoe press kumuomba mwandishi akanushe uzushi wake la sivyo achukulie hatua kuandika habari ya uongo.

Hakuna nchi duniani wanaoumwa ukimwi wakafika 67% na haitatokea.
Hata akikanusha,we endelea na uzinzi tu kwa faraja ya kitambo kuwa hakuna ukimwi,au maambukizi yamepungua sana.Haita kusaidia mkuu..ukimwi upo na hauzuiliki hata kwa kondomu ya bati.
 
Back
Top Bottom