Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 19,454
- 25,375
Nimefanya kautafiti kangu ka muda mrefu kidogo hatimaye nimegundua kuwa 65% ya wana jf wanakaa dar.
methodology pleaseNimefanya kautafiti kangu ka muda mrefu kidogo hatimaye nimegundua kuwa 65% ya wana jf wanakaa dar.
Mie niko hapa Mwanza mjini, karibuTuanze na Mimi , Mimi sio wa dar nipo GEITA kama na wewe upo mkoani jitokeze ili tuone kweli kama wapo wengi kuliko sisi, tafadhali usione aibu hata kama upo koromije we sema tu
Mi niko Mbimbi.Songea nyumbi bombi!!!!
Nakufaham vizuri sana kabla hujafika Namabengo karibu Mahenge hapa!!!Mi niko Mbimbi.
Ukitoka songea-lumecha-namabengo-lihomelo-mbimbi
0Nimefanya kautafiti kangu ka muda mrefu kidogo hatimaye nimegundua kuwa 65% ya wana jf wanakaa dar.