Asilimia 60% yanawanaofunga ndoa wamechavuana NGUO !

mapenzi ni zaidi ya kujaamiana..........................................lol.................
wacha wewe.......unajifanya mchungaji au padre fake??? unadhani pasingekua huo uhondo nani angelioa? hata wewe ukioa ukapata mwenzio ndo tena pale hapapitiki utahili kweli???

Na wengi wanafunga ndio ili kutuchangisha maana tayari wanaishi kama mume na mke; kwa lugha iliyonyooka wanatufisadi wakishirikiana na wazazi wao ambao hujifanya watoto wao hawaishi pamoja hivyo tuwasaidie wakaanze maisha

Kwa lugha sahihi wengi wanaoa/kuolewa na waume/wake zao wa ndoa. Nadhani kwa mujibu wa sheria zetu mwanaume na mwanamke wakishakaa pamoja kama mke ma mme kwa miezi sita tu tayari wameshaoana. Kinachofanyika kwenye siku ya arusi ni kuwajulisha tu wale ambao hawakuwa na taarifa za ndoa yao.

Kweli ni vigumu mno kuepuka hilo, lakini inawezekana, itategemea makubaliano yenu, pia misingi mliyonayo katika imani zenu.

hakuna cha misingi ya imani hapa,ile ki2 we acha tu,tatizo liko automatic sana mkiwa karibu na mwenzio,mi nilikuwa nae wa dizain hiyo mnayoita mlokole lakin nilipiga na ulokole wake,hiv vi2 we acha bwana

MBONA uulizi watu wanapata cheti cha license kabla ya license yenyewe wanatka kuhakikisha kama cheti kamili ndipo wachukue license

kama uamini kaulize madreva

Sina cha kusema, ya muhimu umesema! Kwa kuongezea nasisitiza mtoa mada kutambua kua huu ndio mfumo, that is how the system work, usione ajabu, jaribu kucope na dunia iendavyo!

Vitabu vinasema "Prove all things, hold firmly that which is good"

1 Thessalonians 5:21

we ulitaka wasivueane mpk ndoa?
kwa maradhi aya ya sasa ivi asi utakuwa umekaribsha talaka zisizo na mpango?

sawa..mpk ndoa..usiku wa kwanza ndo unakuja shtuka jamaa adindi..jamaa amesinyaa maeneo yale...SI YULE ULIYEMZANIA..we upo mwaka wa kwanza chuo yeye dzain yupo la tatu b...APO APATACHIMBIKA?cz mhimili mkuu wa ndoa ni apo na apo penyewe HAPAPO?

wanaume weng skuizi wana matatizo ya nyet zao na wa swaga izi weng wao wanajifanyaga waumini wa kakobe et tusidoo mpk ndoa..kumbe ni mwongo anataka kuficha mapungufu yake....mwisho wwa siku ndo unajua ahh kumbe yule bwna hakuwa na nia nzuri?alitaka nisijue madhaifu yake?,......sasa hasira ya kugeuzwa ***** MWAISHOWE UZAA TALAKA....ahh kupimana muhimu..cz MATAPELI WENGI..thou mungu apend bt uhalisia ndo uo asa tufanyeje?
U sound like you dont blv in God at all. Infact You do not seem to put your trust in God and you seem to think your brain is solely responsible for giving you what you want.
Kwa upande wangu huwa sifanyi ngono ili nipate perfect match, ninafanya kwa pleasure na bado ninaamini ni makosa makubwa mbele ya Mungu na hakuna justification. And guess what siwezi kutafuta mke kwa kutafuta perfect match kitandani.

Kwa mtindo huo Rose unaweza kujikuta unapigwa ukuni tu kila siku.

Mwamamke alikataa kuolea korogwe kisa ilikuwa kama hivi
alikuwa na uhusiano na jamaa kwa zaidi ya miezi mitano hakuwi kufanya nae mapenzi licha ya msichana kutaka huduma hiyo,
katika kipindi chao cha uchumba ameshawahi kulala kitanda kimoja na mchumbake kwa zaidi ya mara tano na kila walipo lala nae mwanaume alishindwa kutoa huduma licha ya kuchokozwa mara nyingi na mchumbake na alikuwa akitoa sababu ya kuchoka tutafanya kesho
lakini msichana alikuwa anajua kuwa jamaa yake anatumia milungi labda ndio ilikuwa inasababisha
siku wakati mwanaume anaenda kutoa maali kwa wazazi akaitwa mwanamke na kuulizwa kama wapokee maali au la?
mwanaume alihaidi kama maali itapokelewa ndani ya mwezi mmoja watafunga harusi;
mwanamke aliwazuia wazazi wake kupokea maali hiyo licha ya kuhaidiwa kufunga harusi, uamuzi wa mwanamke huyo uliwauzi sana wazazi wake na kuamua kuunda kamati ya kumuhoji kwa nini amekataa wakati wanawake wengi wanatamani kuolewa lakini hawapati bahati hiyo
baada ya kuhojiwa kwa muda mrefu mwanamke aliamua kumwambia shangazi yake ambye alikuwa kiongozi wa kamti hiyo kuwa, "Shangazi katika uhusiano wa siri nilioufanya na mkwe mtarajiwa unaemtaka kwa muda wa zaidi ya miaka mitano, nimedanganya nyumbani zaidi ya mara tano na kwenda kulala nae lakini siku hizo zote sijawahi kufanya nae mapenzi na hata nilipomwambia mi nataka alitoa sababu kedekede nahisi yeye ni anisi na shangazi sitaki kuwaaibisha baada ya ndoa kuona ninamwanume mwingine nje ya ndoa kwa sababu niliokuwa naye hawezi kukidhi haja zangu za kimapenzi"
Shangazi alikubaliana maneno ya binti yake

habari ndo hiyo halafu hapa sidhani kama nimeelewa maana mnaweza kuvuana tu lakini msifanye ngono

we ulitaka wasivueane mpk ndoa?
kwa maradhi aya ya sasa ivi asi utakuwa umekaribsha talaka zisizo na mpango?

sawa..mpk ndoa..usiku wa kwanza ndo unakuja shtuka jamaa adindi..jamaa amesinyaa maeneo yale...SI YULE ULIYEMZANIA..we upo mwaka wa kwanza chuo yeye dzain yupo la tatu b...APO APATACHIMBIKA?cz mhimili mkuu wa ndoa ni apo na apo penyewe HAPAPO?

wanaume weng skuizi wana matatizo ya nyet zao na wa swaga izi weng wao wanajifanyaga waumini wa kakobe et tusidoo mpk ndoa..kumbe ni mwongo anataka kuficha mapungufu yake....mwisho wwa siku ndo unajua ahh kumbe yule bwna hakuwa na nia nzuri?alitaka nisijue madhaifu yake?,......sasa hasira ya kugeuzwa ***** MWAISHOWE UZAA TALAKA....ahh kupimana muhimu..cz MATAPELI WENGI..thou mungu apend bt uhalisia ndo uo asa tufanyeje?

Hii ni kweli kabisa

Back
Top Bottom