Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 51,262
- 22,539
asilimia kubwa ya wanaume wanatunza watoto ambao si wao
na hii imefanyika utafiti karibia mikoa kumi ...watoto wengi wamekutwa
wanalelewa na baba ambae kwa namna moja amesakiziwa mtoto bila kujua
wadada wengi wamekuwa na tabia ya kuchukua mimba nje hasa pale wanapoolewa wanachukulia kama advantage na hasa wanapokumbana na mijianaume ya "NDIO"" hawa wamekuwa wakilea watoto wa wanaume wenzao pasipo kujua..hili ni angalizo tu kwako we baba kama unaona mtoto anakuwa hana dalili zako..anza kurekebisha maisha yako mapema wahi
DNA.......NDOA nyingi zinatumika kama searching ingine baada ya hapo wanajiamulia wazae na nani;...hii ni kosa kubwa sana matokeo yake watoto wanageuka ma bwaabwaa kwa laana za mababa zao.....kama upo unampenda mumeo mlinde kwa kumpa mtoto wake...achana na kuleta laana nyumbani kwkako .....
nawatakia ndoa njema zenye mafanikio na kuleta watoto halisi wa kwenye ndoa na si nje ya ndoa