Asilimia 40 ya wanaume wanatunza watoto sio wao

Jamaniee, kitanda hakizai haramu! Lea tu, inawezekana na wa kwako wanalelewa na watu wengine
 
#30
Today, 03:17 PM
Mama Mia
Mama Mia has no status.
Banned


I she banned already?
Very sory to her, I shared with her on this so I don't know what went wrong with her. We are all under the rule of law of the ground so just for reference we can go for updates on ban list.
 
Takwimu iliyotolewa inaweza kuwa kweli au labda sio kweli. Lakini tukumbuke na tukuballi kitu kimoja - making a woman pregnant does not make you a father, a father is more than that. Being their for the child in all aspects.

Then the 40% of the men taking care and loving and supporting these children are the fathers indeed, even in the eyes of the children themselves.
 
Ni kweli hiyo inatokana na wanaume wengi kushindwa kuwatimizia wake zao kimapezi.
Wewe Mwenzio hajajisikia Wewe Umefungulia Bomba Mwa mwa mwa mwa na kujilaza . Wakati mwenzio bado anataka mchezo mpaka naye Amwage maji kama wewe.
Badala yake anapatikana mtu anayejua kulishughulikia hilo goma, Utashanga mtoto amezaliwa na sio wako.
 
habari hii nimeipata through ITV news na data zimetoka kwa mkemia mkuu wa serikali.

Mya take: wanaume jihadharini kwenye ndoa zenu hizo. Udanganyifu ni mwingi japo sample iliyopimwa DNA labda ni highly selected kwa maana ya pengine tayari kulikuwepo na mashaka iliyohitaji uhakiki wa DNA: all in all tuwe makini

siri yote kuhusu mtoto anajua mama.....
 
Wanaokwenda pale kupima tayari wana wasiwasi kwa hiyo kiwango cha majibu hayo ni sahihi. Ingekuwa idadi ni chini ya hapo, ingeonyesha kuwa usahihi wa majibu hayo unatia mashaka.
 
Wazir wa afya Dr.Hussein Mwiny akiwa ametembelea baadhi ya maabara ambazo serekal mpango mkakati ni kuziboresha imebainika 60% ya wanaume walipima DNA imebainika watoto wanaolea sio wa kwao..
NB.Wakuu hiz ndio ndoa zetu za kibongo,polen sana mlioa..
Source:itv taarifa ya habari
 
habari hii nimeipata through ITV news na data zimetoka kwa mkemia mkuu wa serikali.

Mya take: wanaume jihadharini kwenye ndoa zenu hizo. Udanganyifu ni mwingi japo sample iliyopimwa DNA labda ni highly selected kwa maana ya pengine tayari kulikuwepo na mashaka iliyohitaji uhakiki wa DNA: all in all tuwe makini

siri yote kuhusu mtoto anajua mama.....

Hii story ni ya muda sana ina maana UTV ndiyo wanairusha leo? Ila habari ndiyo hizo kwa wanaume!!! Mama ndiye mwenye kujua baba wa mtoto!! Ila ningekuwa mimi kama mtoto anagombania na ninajua baba wa kweli sikanyagi kabisa huko. Akina mama kaeni chongo wale ambao mnaduu nje!! Tumieni ndom kwa mabwana wa nje wajameni.
 
Inaonyesha jinsi gani wanawake wasivyo waaminifu katika ndoa
 
Wazir wa afya Dr.Hussein Mwiny akiwa ametembelea baadhi ya maabara ambazo serekal mpango mkakati ni kuziboresha imebainika 60% ya wanaume walipima DNA imebainika watoto wanaolea sio wa kwao..
NB.Wakuu hiz ndio ndoa zetu za kibongo,polen sana mlioa..
Source:itv taarifa ya habari

Mods unganisheni member mwingine amesharusha same taarifa. Asante mkuu ZionGate.
 
Ila habari ndiyo hizo kwa wanaume!!! Mama ndiye mwenye kujua baba wa mtoto!!

Not necessarily. Kama mwanamke kamegwa na wanaume wawili kwa siku moja...kesho yake akamegwa tena na mtu mwingine...baada ya siku mbili tena akamegwa na njemba tofauti.....hapo atajuaje yupi kati ya hao ndiyo baba kijacho?
 
wanawake wanagegedwa sana nje...mie najionea bora ukamatie uwagegede na kusepa...mwanamke mtu mbaya sana.
 
Baba unapochakachua nje na mama naye anachakachua nje ngoma droo, Baba unaleta watoto wa nje saa saba kweupeee na Mama naye analetewa watoto wa nje kimya kimya bila kishindo,
 
Wanaokwenda pale kupima tayari wana wasiwasi kwa hiyo kiwango cha majibuhayo ni sahihi. Ingekuwa idadi ni chini ya hapo, ingeonyesha kuwa usahihi wa majibu hayo unatia mashaka.
Hapo umenena sahihi, ushauri uliotelewa na mleta maada wa kusema ;wanaume jihadharini kwenye ndoa zenu hizo" ungekuwa wa maantiki endapo takwimu hizi zingechukuliwa kwenye ndoa ambazo hazina wasiwasi wowote
 
Sawa shishangai kwani wengi wanaoenda kupima tayari wankuwa wanahisi watoto si wao so ni kawaida labda kama vipimo vivyo vilichukuliwa kwa watu kwa wanaume wasikuwa na tatizo hilo.
 
Kwa hiyo DNA inatambua dushelele zaidi ya mama au?Mbona tambuzi zifanywazo na wamama watoto hufanana na baba zao?
Isijekuwa kipimo cha DNA kimeletwa ili tulee na watoto wasio wetu...nina wasiwasi.
 
Back
Top Bottom