Asili yetu binadamu ni nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Asili yetu binadamu ni nini?

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Wa Nyumbani, Apr 28, 2011.

 1. Wa Nyumbani

  Wa Nyumbani JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 432
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Siku moja Binti alimuuliza mama yake:
  Binti: Mama hivi sisi binadamu asili yetu ni nini?
  Mama: Hapo mwanzo Mungu alimuumba Adam na Eva, nao walizaliana na kuongezeka hadi tukazaliwa sisi. Baadaye akaenda kumuuliza baba yake:

  Binti: Baba sisi binadamu asili yetu ni nini?
  Baba: Sisi binadamu asili yetu ni nyani ambaye amekuwa akibadilika kimaumbile hadi kuwa binadamu. Kusikia hivyo, binti akaenda kwa mama yake na kumuuliza:
  Binti: Mama mbona maelezo yako na ya baba yanatofautiana kuhusu asili ya sisi binadamu?
  Mama: Mimi nimekueleza kuhusu asili yetu kwa upande wa uzao wangu na baba yako amekueleza juu ya uzao wao.
   
 2. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Teh teh, duuu...
   
 3. egbert44

  egbert44 JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2011
  Joined: Mar 17, 2006
  Messages: 361
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  ha ha ha ha uzao wa mzee wa manyani du!
   
 4. K

  KILOTI Member

  #4
  Apr 28, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Teeh teeh binti aliondoka na asili gani?
   
 5. h

  heriedo Member

  #5
  Apr 28, 2011
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bint lazima achanganyikiwe yeyd asili yake ni ipi' ya baba au mama
   
 6. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #6
  Apr 28, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Duu!! hii kali
   
 7. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #7
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Searching...100%
  Loading...100%
  Network Connected !

  Near by Simike Mbeya
   
Loading...