Asili ya Neno Mademu..

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,140
13,215
Hili neno sina uhakika sana lakini nasikia eti maana ya mademu asili yake ni dam yaani bwawa....(K)????

Naomba mwenye udadavuzi anitupie hapa
 
duh, asante lakini nasikia hawa wikipedia hawaaminiki sana

Yeah, wikipedia hawaminki kwa sababu ndipo TBC walipochomoa data kwamba wakristo ni wengi ukilinganisha na waislamu katika nchi hii na ndio chanzo cha waislamu kugomea sensa.........................................
 
we utakuwa tu muislam,,, yes or no??
 
Mi najua demu ni mtamko wa kiswahili wa neno Dame (Lady)
Ila sasa kwa kiswahili neno hili limekua very pejoraive, kama tusi.
 
Yeah, wikipedia hawaminki kwa sababu ndipo TBC walipochomoa data kwamba wakristo ni wengi ukilinganisha na waislamu katika nchi hii na ndio chanzo cha waislamu kugomea sensa.........................................
Ptuuuuu!
 
na je kwenye kamusi neno demu humaanisha nini? Maana wabongo kwa kKupenda ****nisha hatujambo

khaaa! JF vipi nimeandika kumanisha eti hayo maneno manne ya mwanzo yakawa sensored kwa hiyo hata Mboga nalo linaweza Kuwa sensored?
 
Nadhani asili yake ni damsel ie mwari . Damsel limetokana na demoiselle, French word for young lady.
 
Mi najua demu ni mtamko wa kiswahili wa neno Dame (Lady)
Ila sasa kwa kiswahili neno hili limekua very pejoraive, kama tusi.
Uko sahihi, lakini neno demu pia lipo kwenye Kiswahili na linaweza kumaanisha dharau dharau kama utalikusudia kwa mtu.

ENGLISH/SWAHILI
Dame: 1. mwanmke hasa aliyeolewa 2. (US slang), mwanamke 3. (GB) cheo cha heshima ya juu cha mwanamke. 4. mke au binti wa Lodi. 5. jina kitu kinachofananishwa na mwanamke. Dame Nature Asili Dame Fortune Bahati

SWAHILI/ENGLISH
Demu: nm ma- [li-/ya] 1. rag 2. (a- zamani) old piece of cloth or rag worn aroung the loins or around woman's breasts esp. when working in a field.
 
Back
Top Bottom