Katitu ni muziki wenye asili ya Kikamba pale Kenya kwa akina wa Kaneza au wa Mseto wakimaanisha wa nyumbani. Hajawahi kutokea mtu aliyepigia debe muziki wa Kikamba kama marehemu Kakai mwana wa Kilonzo toka Wote kama siyo Mbooni (Sina uhakika na hili). Maana mie ni mtaalamu wa maeneo ya Kati, Mutomo na Mtitu a Ndei. Hayo tuyaache. In brief ni kwamba Katitu ni kamsitu au mtitu kama ni mkubwa. Wakikuyu husema Mutitu _inasome mutito badala ya mutitu, Hivyo Katitu husomeka Katito. Nadhani nimedadavua. Akina Mtitu, Waititu na Kithaka hapa wananielewa. Kohania atya athuri na atongolya? Ni wega mumo njamba za ita.