Asili ya kudumaa kwa akili ya Mwafrika kulinganisha na Wanadamu wengine

Kutokana na kuwepo post nyingi, ni vyema ungequote tujue nani unamuadress.
But kama ni mimi, ningependa kujibu kwa uelewa wa kawaida na siyo kitaalamu kuwa mtu hawezi kuwa smart kama siyo bright. Na hii smart haimaanishi mavazi bali behaviour and acts.
 
Mnepha, Huo msingi wa bara letu ndio ukoje

Kuna kitu kinaitwa Continental drifting, ambako mwanzo hapakuwa na kitu kilichoitwa mabara, sehemu kubwa ya dunia ilikuwa imeunganga (pangaea). kukatokea na sehemu fulani za ardhi kupasuka na kuwachana. Wataalamu wamesema kuwa KIPANDE PEKEE CHA ARDHI LEO TUNAYOITA AFRIKA (KAMA BARA) NDILO HALIKUHAMA NA BADO LIPO PALEPALE. KWA MAANA MSINGI WAKE HAUKUTIKISWA NA MATETEMEKO.

NA NDIO MAANA NI BARA PEKEE LILILOKO JUU KULIKO YOTE TUOMAANA TUNAPATA JUA MDA WOTE KAMA AUSTRALIA. RAMANI YA ULIMWENGU YA SIKU HIZI IMEHADAA WENGI KUWA KUSINI NI CHINI. KUMBE KUSINI NI JUU, KASKAZINI NI CHINI, NDIO MAANA MTO NAILI UNAELEKEA KASKAZINI AMBAKO NI CHINI. PERIOD!!

DO NOT LET THEM FOOL YOU, THEY WILL CONTROLL ALL TIME
 

With every open mind, ningependa kufahamu kwanini umeleta mada hii JF?
Just be honest an positive.
Ukinijibu nitakwambia kwanini nimeuliza hayo.
 
Bhanaye si lazima kuongelea kila kitu. Kuna vitu vya msingi umevieleza ni vya kweli lakini umenishangaza unataka kupotosha juu ya wapi ni juu ama wapi ni chini.
Upande wa Kaskazini mwa dunia siyo juu wala ncha ya Kusini siyo juu. Dunia ni kama mpira, hivyo hakuna sehemu ambayo iko juu na nyingine kuwa chini.
Hata hivyo, dunia siyo tambarare inayolingana bali kuna miinuko na mabonde, hali inayopelekea kuwepo maji yanayotiririka kutoka uwanda wa juu kwenda uwanda wa chini (Kumbuka Isostacy theory). Na kwa taarifa yako katika Mabara yote duniani ukitoa tu Ulaya na Urusi, mito mingi inatiririsha maji yake kuelekea upande wa mashariki mwa mabara hayo kutokana na uwepo wa pepo za Trade Winds zinazopelekea mvua nyingi upande wa Mashariki wa mabara hayo.
Vilevile siyo kweli kuwa Afrika haihami, ila Afrika kama zilivyo Europe na Asia ni eneo kubwa ambalo ni kama limeungana hivyo mabara hayo yamekuwa hayahami sana kama Plate Tectonics za America (ya Kaskazini na ya Kusini), Australia na Antarctica lakini bado nayo yanahama kidogo kidogo.
 
With every open mind, ningependa kufahamu kwanini umeleta mada hii JF?
Just be honest an positive.
Ukinijibu nitakwambia kwanini nimeuliza hayo.
Nimeileta hii mada kwa lengo la kuwaandaa kisaikolojia juu ya mada nyingine "very controversial" but critically very "necessary" ambayo huwa ni very emotional. Na hiyo inatarajia kuibua mijadala ya:
  • Chanzo cha tofauti kubwa ya kiakili darasani (formal education) kwa jamii za kitanzania.
  • Sababu za Waafrika kukwama kimaendeleo kulinganisha na binadamu wengine.
  • Umuhimu wa kuelewa elimu za watumishi wote wa umma ili kupunguza hisia za kubebwa vilaza.
  • Kurekebisha kasoro zinazoendelea kukua kati ya jamii za kitanzania, hasa ya kuwa na shule za sekondari za kata, kwani zinasababisha jamii nyingi kuendelea kujitenga zaidi.
Tatizo kubwa ambalo mnaweza msilione ni kwamba, zamani shule karibia zote za Serikali zilikuwa za bodi na wanafunzi walipelekwa mbali na kwao. Huko walipata kazi huko huko ama walioa huko na hivyo kupunguza taratibu tofauti hizo. Lakini kwa sasa shule za kata zimeibua tena ule ukabila na ukanda kutokana na vijana kusoma maeneo yao na kuajiriwa bila kuwahi kufika kwingine.
 

Sorry.. sijawa-satisfied sana na jibu lako. Sina maana kama umekosea kujibu, hapana.
Mwanzoni nilidhani ulileta uzi huu ili kufanya bench-marking ya kile ulichonacho na kile walichonacho wengine hapa JF, Kumbe siyo(au ndivyo labda).
Basi kama jibu ni hilo ulilotoa, ninapata swali jingine. Je, ni upendo, uzalendo, huruma au kazi(research may be) au nini hasa kilichokufanya ufanye hivyo sasa na si wakati meingine? Samahani kama nitakuwa nakukosea ila napenda kufahamu. Honestly speaking.
 
Hii yote inatokana na sababu nilizozitaja hapo juu. Narudia huwezi kutenganisha uongozi wa nchi na elimu za jamii ya kitanzania.
Kumekuwepo malalamiko mengi kutoka kwa baadhi ya jamii kuwa, kuna jamii fulani "zilitengwa" kielimu. Lakini hasa ni tuhuma za sasa za baadhi ya wanasiasa kuwa, Serikali ya Awamu ya V ni ya ukanda na ukabila. Hata hivyo, wanasiasa hao kwa kujua ama kutojua, hawajawahi kujishughulisha na kujua idadi ya wakazi wa kabila ama Kanda fulani. Wao wanataka kuona kuwa mmoja akitoka ukanda fulani "lazima" mwingine atoke kwingine.
Sasa, madhara ya kutojua takwimu za wasomi na uwezo wao kikabila, kimkoa, kikanda na kidini, ndiyo inayosababisha malakamiko yasiyokoma. Madhara yake, ni kwamba anapotoka kiongozi mmoja, mwingine anakuja kurekebisha/kuharibu "unbiased balance" iliyokuwepo.
Hivyo, mkichagua Rais wa kabila lenye wasomi, ujue wasomi wataneemeka, ukichagua Rais wa ukanda usio wa wasomi ila wafanyabiashara, lazima atafuata maslahi yao na ukimchagua Rais wa dini fulani, ni lazima wa dini yake watafaidika.
Hayo ni madhara ya kutokuwa na takwimu sahihi bali tunaishi kwa kubahatisha wakati nchi nyingi duniani, zinafanya sensa ya mambo hayo yote na hivyo inawapa kinga ya kutoburuzwa na uongozi mpya unapoingia madarakani. Makosa yaliyofanywa na kiongozi aliyepita hayawezi kuachwa na kiongozi mpya - Suala hapa "NI NANI ALI/NAYEKOSEA KATI YA ALIYETOKA NA ALIYEPO?"
Huwezi ukasema uongozi wa fulani ni mzuri kama hauijui nchi yako. Ndiyo maana "tumekuwa" tunalalamika kukosa hela na kusahau kuwa, ni sisi hawahawa tulikuwa tukilalamikia maadili mabovu, rushwa, huduma mbovu za jamii na kupungua fursa ya masikini kuinuka kimaisha.
Tuyajadili haya masuala, kuna haja ya kuwa na sensa yenye kila kitu.
 

Sawa mkuu, ila kabla ya post yako hii uliyonijibu naamini ulikuwa umejikusanyia mashabiki wengi kwenye uzi huu, lakini kuanzia sasa na kuendelea, watapungua wengi na ujiandae kwa kukatishwa tamaa. Hii ni kwa kuwa watu wengi wanapenda kuambiwa vile wanavyovitaka wao na wanavyovipenda wao. Wengi hawapendi changamoto na hapa wameshaanza kujenga hisia za kisiasa. Mada yako haikuwa ya kisiasa lakini wasi wasi wangu ni kwamba mada hii itageuka kuwa ya kisiasa au itakosa wachangiaji.
Vyovyote itakavyokuwa, niko pamoja nawe na tafadhali ukipost kitu naomba uni-tag maana nimesoma comments zote za huu uzi na kutambua kuwa uko vizuri kwenye nyanja nyingi sana za taaluma. Thumb up mkuu.
 
Ndugu mleta mada (Mgambilwa ni mntu) naomba uielezee ikiwezekana kwa undani hiyo ramani uliyoiweka mwanzoni kabisa mwa mada yako.
Yaani uelezee hizo rangi kiundani, mishale inayoonesha movements(namna binadamu alivyotoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine. Pia ungeelezea hiyo miaka iliyowekwa kwenye ramani, kwamba nini kilitokea wakati gani, itakuwa vizuri ukielezea kuanzia Afrika kwenda mabara mengine kwa kuwa inaaminika mwanadamu alitokea Afrika(kwa dhana moja kati ya nyingi).
 
Thanx mkuu. Inaweza kuleta shida kwa sababu binadamu huwa tunaogopa kuumizwa. Lakini nakuhakikishia haitatokea tukajenga an open society kama kuna vitu vya wazi tunaogopa kuviweka wazi na hivyo kuvi-overlook kwa makusudi, hivyo lazima vitazidi kutu-haunt sana muda wote. Hakuna haja ya kuvieleza kwa sasa, but vipo.
 
Niliogopa kuweka mambo mengi kwa hofu ya kukuza mjadala na hivyo kupoteza lengo langu la kujadili ka-eneo kadogo tu. Sasa kwa kuwa, umeniomba, itabidi nije niiweke (siyo mwanzoni) ili tuongeze fursa ya kukuza huu mjadala.
 

Mbaya zaidi ni kwamba mara nyingi hatujui hata tunachotaka, kwahiyo hata kama kuna vitu vinatu-haunt hatutambui.
Tunachokiweza vizuri ni "KULAUMU"
 
Mkuu hii habari yako ni hekaya tu.Africans are created to be led by whites,....ndo maana hamna ambacho mzungu hadi karne hii amewahi kujifunza kutoka kwa mwafrika.

Ukizungumzia kuwaburuza wazungu darasani bado sio pointi ya msingi kwakuwa kufafaulu darasani sio kigezo cha kuwa na uwezo mkubwa wa kiakili.Laiti ingekuwa hivyo basi Bill gates angekuwa mjinga wa mwisho,but the Don escaped school and became the biggest ever known computer programmes maker ,kitu kilichoibadilisha dunia makubwa.Je huyu ni tumwiteje?!!!
Yap yap!!

Hatutaki kuhangaisha akili. Hivi vitu sio automatic. Tuna allergy na kujifunza


Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
we ndio sumbukuku kweli. hata huelewi chochote juu ya Bill Gates, huyu sio programmer ever, muulize Bill Gates kuwa Paul Allen alikua nani katika Microsoft? Microsoft Company ilikuzwa na programmer anaitwa Paul Allen ambae alitoka kampuni ya IBM na kwenda kumnyanyua Bill. Acha kurukia gari kwa mbele, ukasahau nyuma kuna ngao. kifupi mimi ni IT EXPERT NILIEBOBEA KWENYE INFO SEC, ndio fani inayonipa heshima TZ bara na Zanzibar.

Hua sipendi kufundisha watu vilaza waliolazwa na waalimu vilaza. Half of our stories have never yet been told.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…