Maukiddo
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 206
- 111
Wana JamiiForums, pale ambapo The Great Thinkers wanapokutana...
Nimeanza kuwasabahi kwa mikogo kidogo, ila mie nina langu nimekuna kichwa sijapata jibu...
Hivi hili jina DAR ES SALAAM, tamka 'Daresalaam', zaidi ya kujua ile maana ya "Bandari Salama", hivi kuna mtu humu ndani anajua ilikuwaje mpaka likaja hili jina, na ni wapi asili yake, na ni nani alipendekeza hili jina pale jijini?
Na kwa nini kusingeitwa maana ya lile jina Bandari Salama mpaka kukaitwa "DAR ES SALAAM"?
Naomba mnisaidie kunipa uelewa kidogo wadau..
Asanteni!