Asili ya jina Dar es Salaam

Asili ya jina Dar es Salaam

We lzm utakuwa Shoga tu manake kila mara lzm uuongelee.
Kinyesi wahed.
Ulipokamatwa ukafungwa ulitegemea huko Jela wakuimbie Taarabu?
Mtoto sio rizk wewe!

Ndugu kahtaan huyu jamaa atakuwa ana matatizo makubwa sana anaonyesha chuki yake waziwazi kwa waarabu sijui wamkosea nini maana anavyotapanya maneno ya ovyo napata mashaka na ufikiri wake.
 
Bujibuji hujajibu swali na ulichojibu si ambacho mtoa mada amekiuliza,mtoa mada ameuliza maana na asili ya Dares salaam na kwanini inaitwa Dares salaam na si bandari salama,wewe umekuja na sifa za Dares salaam kwamba kuna ushoga mapepo ya kiarabu na ulawiti vitu ambavyo hata kama ni kweli mtoa mada hakuvitaka aambiwe.jifunze ustaarabu na acha chuki za aina yoyote kumbuka maisha ni zaidi ya chuki.

Shoga km huyo Bujibuji atapata wapi ustaarabu?
Tazama Jina lake kwanza. Anajitangazia Biashara waziwazi. toto ujiuji.
 
Last edited by a moderator:
Ndugu kahtaan huyu jamaa atakuwa ana matatizo makubwa sana anaonyesha chuki yake waziwazi kwa waarabu sijui wamkosea nini maana anavyotapanya maneno ya ovyo napata mashaka na ufikiri wake.

Hawa ndio wale wafanyakazi wa ndani kwenye majumba ya waarabu wenye mchezo wa Kuiba.
Sasa amekamatwa kawekwa ndani toka kamaliza kifungo chake analaani kila Mwarabu.

Na kila mara Bujibuji analalamika kuhusu watu kulawitiwa.
Mi namshauri akapime Ukimwi haraka sana. Manake huko Jela Kubaya sana.
Akichelewa Sasa hivi tutaona kibao cha Tanzia hapa JF.
 
Last edited by a moderator:
bujibuji hujajibu swali na ulichojibu si ambacho mtoa mada amekiuliza,mtoa mada ameuliza maana na asili ya dares salaam na kwanini inaitwa dares salaam na si bandari salama,wewe umekuja na sifa za dares salaam kwamba kuna ushoga mapepo ya kiarabu na ulawiti vitu ambavyo hata kama ni kweli mtoa mada hakuvitaka aambiwe.jifunze ustaarabu na acha chuki za aina yoyote kumbuka maisha ni zaidi ya chuki.
mmmmwwwwaaahh...
 
mkuu mimi sina kitufe cha laiki, niwie radhi!

Hao wote wanaku changanya
wengine watakwambia house
wengine mji
wengine bandari...

ili mradi watu kila mtu anakuja na tafsiri yake

Sasa ngoja nikujibu mimi ninavyo eleewa

Kwanza elewa kiarabu cha sasa kinachotumika na waarabu
na Quran ni tofauti......

Ndo maana kuna watu wanatafsiri kwa lugha ya Sasa ya Kiarabu
wanazidi kuchanganya watu

Kwa imani ya dini ya kiislam kuna pepo saba...ambazo watu wema wakifa watakwenda huko
moja ya juu sana inaitwa 'firdaous'...

Inayo fuata ni 'Dar as salaam'
so Dar as Salaam ni jina la pepo....maana ikiwa 'heaven of peace' na sio 'haven'

kumbuka jina limetoka kwenye masuala ya imani...tungeweza pia kuita 'paradise of peace'

Sasa mix up ya tafsiri inajitokeza kwa wale ambao wanatafsiri kwa lugha ya kiarabu kinacho tumika sasa
kumbuka wakati wa Mtume(S A W)...lugha iliyo kuwa inatumika ni kikuraishi...na sio arabic hii ya sasa...

Ndo maana hata mwarabu wa sasa inabidi ajifunze dini ya kiislam...haelewi moja kwa moja..

Sasa kutoka Dar as Salaam iliyokuwa ina maanishwa 'heaven of peace'
katika kuelewa na ku translate kumekuja hizi mix up
wengine wakiita 'haven of peace'
wengine ndo hiyo house of peace...

Bandari kiarabu ni bandari
na upo mji katika nchi ya Brunei unaitwa 'Bandar Salaam'

ajabu pia huko Brunei kuna jimbo linaitwa Dar us salaam...

kwa hiyo kwa ufasaha ilipaswa kuandikwa 'Dar as Salaam'

waraabu hata Jerusalem wanaandika 'Jer us salaam '
Bethlehem...'Beit u leheem'

Ngoja wajuzi zaidi watujuze
cc FaizaFoxy Mrskharusy cc Angel Nylon
 
Back
Top Bottom