Haya tufanye umeshinda weweBaada ya kuuliza kuna sehem nikatoa ufafanuzi baada ya kuambiwa hicho ni chakula gani.
Haswaaa....ndivyo hujakosea, tunakula sana home hususan Eid haikosi hiyoInaonekana unakijua vizuri hiki chakula je ni kweli kinaitwa bokoboko na wanaokipenda ni waarabu?
Bas eid hii naja kwenuHaswaaa....ndivyo hujakosea, tunakula sana home hususan Eid haikosi hiyo
mkuu si lazima iwe choroko na mchele hata ikiwa burga na nyama au mtama na nyama au chiroko na ngano changa ai ngano changa na nyama ya ngombe,mbuzi,kuku yote ni MCHANYATO AU MSETOMseto huchangwanywa mchele na choroko sasa huu ni mchele na nyama mkuu