Asili ya hiki chakula ni ya kabila gani?

_aysher

JF-Expert Member
Aug 2, 2016
1,131
942
Habari za mchana habari za jpili wana jf wote, Kama nilivyo uliza hapo juu naomba kuju.

Chakula hiki asili yake wapi? Au ni kabila gani wanakitumia? Na kinaitwaje?
2dc9e0589aa29a34a347ebebfa0bf1c3.jpg
 
Kuna mtu hapa kaniambia hiki chakula kinaitwa bokoboko na asili yake ni waarabu, ni mchanganyiko wa mchele na nyama ya mbuzi,
Na huo mchuzi wake ni jam au zabibu kavu zinachemshwa pamoja na mafuta ya samli.
Inawezekana mchele mmoja mapishi mbali mbali siwezi kubisha ila bokoboko nililokula mimi si laini kama hicho chakula pichani
 
Huo ni ugali, labda wa muhogo na huo mchuzi umepikiwa mafuta ya mawese. Kama sio wa Congo basi ni wa Angola. Hilo busati linanichanganya. Labda ni wa kutoka nchi hizo na kulowea TZ.
Inawezekana mkuu.
 
Ukiangalia hapo juu kuna maelezo nimetoa baada ya kuuliza huku uraiani.
Soma uzi wako vizuri unionyeshe mahali umesema ni chakula gani see umeuliza hiki chakul kinapatikana mkoa gami ila hujasema ni chakula gani
 
Back
Top Bottom