stormryder
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 2,205
- 2,537
Wazanaki wametokea wapi??
Watutsi sio NILOTES ni CUSHITE (Wakushi)Watutsi wana chembe chembe za ubantu lakin asili yao hasa wanatokea Northern Africa. Ndo maana unaona wamefanana na wamasai au wa'soutj sudan. Warefu wembaba na pua nyembamba.
Nilo-Saharan languages - Wikipedia
Labda walichipua hapo CameroonSasa na hapo Nigeria na Cameroon walifikaje? Sasa wewe unataka warudi huko Nigeria na Cameroon katika misimu hii ya sikukuu, je vyombo vya usafiri vitatosha na wakifika huko wataenea kweli?
Lakini jamaa ana hoja ...ni muhimu kujua tutakapoelekea baada ya hapa tulipo!!halafu unaamini kuwa kichwani mwako unaakili kweli ..
kama hauitaji kujua ulipotoka niwazi ikitokea baadae ukafanikiwa hata wazazi wako na ndugu zako utawakana wewe..
ingawa mafanikio hayana desturi yakwenda kwa mtu asiyejitambua ..nahata kama yakienda huwa nikatka sehemu yake ya Maputo tu..
kutokujua unapotoka nisawa nakutojitambua mkuu ..
WahangazaMbona wanasema wahaya inasemekana walitoka misri hebu fuatilia historia yao sio kongo
Wahehe jeDuh namkumbuka Dr.Itandala r.ip
Wahehe ni wabantuWahehe je
itakuwa ni waluguruNa hapa, Tanzania wenye asili ya hapa haswa ni Nani manake haiwezekani tu hao wacameroon na wanaigeria watoke huko walipotoka na wasikute watu wowote waliokuwa na asili ya Tanzania, naamini kipindi hicho Tanzania haikuwa tupu, ilikaliwa na Nani????
UMemchamba sana nadhani next time atakuwa anaogopa kuwa wanawake wa humu wanachamba sana. Dada upo maeneo gani?Ethiopia je? mbona huisemi? km asili ya watu weusi make haiajwahi twaliwa ile! cameroon mbaaalikule! mweee!! yaani umerishwa mijitango pori mpaka umevembewa nyooooooooo!
Tatizo lako na wewe unatumia biblia kama reference kutetea hoja yako,sisi tunataka kujua asili ya binadam wa kwanza alitokea wap kihistoria?Huwezi ulaniletea historia hiyo alafu ukaniambia kabila fulani ni ndugu zangu, ndugu kivip
Ukitaka kuleta historia hiyo rudi nyuma kabisa ufikie kwa wanae nuhu na ugundue kwamba sisi sote ni ndugu na tuishi hivyo popote duniani kwa amani na upendo kabisa
Wahaya ni Wa-Bantu asilimia 100% hawakutaka misri, waliabudu Mungu asiyeonekana ambaye ni tofauti na miungu ya kimisri.Mbona wanasema wahaya inasemekana walitoka misri hebu fuatilia historia yao sio kongo
Kinacho changanya watu hapa ni kitu kimoja!!, wanaposema asili ya wabantu ni Nigeria na Cameron hawamaanishi asili ya watu kwa muonekano, mfano Urefu, rangi,nywele n.k!. Kinacho maanishwa hapa ni Lugha ( matamshi), unaposema wabantu, Wanailot,wakushi na wakhoisan hapo kinachotofautisha hayo makundi ni matamshi yao katika lugha na sio muonekano wa watu. Kwa mfano akiwekwa hapo Muhaya, mchaga, mjaluo, mkurya, mmakonde, mmasai, msukuma ,mhadzabe na muiraqw , kitakachofanya ajulikane huyu ni mbantu, mnailot, mkushi au mkoisani ni matamshi ya lugha yake na sio muonekano wake. Kwa maana kwa muonekano wapo wanaoshabihiana ingawa hawapo ktk kundi moja la lugha.Ethiopia je? mbona huisemi? km asili ya watu weusi make haiajwahi twaliwa ile! cameroon mbaaalikule! mweee!! yaani umerishwa mijitango pori mpaka umevembewa nyooooooooo!
Watutsi ni wabantu na sio nilotes au cushites. Tunachoangalia ni lugha (matamshi) yao na sio physical appearance yao. Lugha yao inaangukia kwenye familia ya lugha za kibantu.Watutsi sio NILOTES ni CUSHITE (Wakushi)
Nilote ni wembamba warefu ila wana nywele za kipilipili cha Africa
Wakushi ni jamii za watu wa Ethiopia na wasomali nywele zao za kuteleza
Mtutsi ni sawa na msomali aliyechakachuliwa
Ndio , ila alianza binadam lugha zikafuata baadae. Na lugha za kibantu zikaanzia huko (ambako kwa leo hii ni ktk bonde la Nigeria na Cameroon)BINADAMU WA KALE ZAIDI ALIISHI TANZANIA