mpiga domo
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 852
- 1,502
Hata ww mchango wako sijauonahuu Uzi mbona unamadini mazito hivyo lakini ajabu hauna wachangiaji !!?
nawewe baada yakutouona mchango wangu ukaamua kufanya kama nilichokifnya mimi..aiseeHata ww mchango wako sijauona
Mbona wanasema wahaya inasemekana walitoka misri hebu fuatilia historia yao sio kongoHeri ya Mwaka Mpya Great Thinkers,
Leo nimeamua kuja na huu uzi mahususi kwasababu ni mwisho wa mwaka na wengi wetu tunapenda kurudi makwetu. Wapare na Wachaga wataenda kwao Kilimanjaro, Wameru, Wambulu na Wamasai wataenda kwao Manyara na Arusha. Wasukuma, Wahaya na Wanyamwezi wataenda kwao Shinyanga, Bukoba, Tabora na Mwanza. Vile vile ndugu zetu Wanyakyusa watarud kwao Mbeya n. k nk. Kwahyo si vibaya tukajua sisi wote chimbuko letu ni nini hasa.
Lakini wengi wetu tumekua tukijivunia kurud ma'kwetu bila kujua sisi wote asili yetu ni moja. Watu wote wanaoishi East West and South Africa asili yetu ni moja na asili hyo ni BANTU. With exception ya makabila machache kama Wamasai, Watutsi ambayo asili yao ni NILOTIC. Na ukitoa wachache South Africa ambayo asili yao ni KHOISAN. Na ukitoa PYGYMY watu wafupi wa Congo.
Sisi wote tunatokea West Africa maeneo ya Nigeria na Cameroon. Kutokana na ongezeko la idadi ya watu na kutafuta opportunities nyingine za ardhi kwa ajili ya Chakula tungaanza the great migration kutoka West Africa kuja Central Africa hadi ukanda wa Bahari ya East Africa na wengine wetu wakashuka hadi South Africa. Hii Great Migration ya Bantu people kutokea West Africa ilianza miaka 3,500 iliyopita.
Baadhi yetu walibaki Congo na kujiendeleza hapo na kufanya intermarriage na PYGYMY people, wengine wakaja Tanzania na Kenya wakachanganyika na kuoana na NILOTIC people waliotokea Sudan, South Egypt na Uganda na kutengeneza makabila kama Chagga, Sukuma, Nyakyusa, Masai, Pare n. k.
Wengine wakashuka chini wakaoana na KHOISAN na kutengeneza makabila kama Zulu, Ngoni na Shona and Ndebele.
Lakini ukichunguza asili yetu kabisa wote tunatokea Nigeria na Cameron. Na wote ethnicity yetu hata ki'genetics ni Bantu people.
Amani iwe nanyi katika kipindi hiki cha sikukuuu mkifiria mnapotokea.
Link hii hapa na mwenye kuongezea aongezee
[Bantu peoples - Wikipedia]
"If you do not know where you come from, then you don't know where you are, and if you don't know where you are, then you don't know where you're going"-Terry Pratchetthuu Uzi mbona unamadini mazito hivyo lakini ajabu hauna wachangiaji !!?
Hapana mkuu, wahaya ni Bantu kama wengine. Kama umesoma Kiswahili A-Level ungeelewa nachoongelea. Kuna topic ya History of Language.Mbona wanasema wahaya inasemekana walitoka misri hebu fuatilia historia yao sio kongo
Binadamu wa kwanza kabisaaa alitokea East Africa maeneo ya Serengeti Plains na Olduvai kama miaka milion mbili iliyopita.Sasa na hapo Nigeria na Cameroon walifikaje? Sasa wewe unataka warudi huko Nigeria na Cameroon katika misimu hii ya sikukuu, je vyombo vya usafiri vitatosha na wakifika huko wataenea kweli?
Huyo binaadamu wa kwanza alitokea kutoka wapi?? alizuka au?? je alikua rangi gani?? na kama sote tumetokea Nigeria na Cameroon vipi huyo wa kwanza atoke Olduvai??Binadamu wa kwanza kabisaaa alitokea East Africa maeneo ya Serengeti Plains na Olduvai kama miaka milion mbili iliyopita.
Baada ya hapo walianza migration kwenda sehemu nyingine dunian.
inadaiwa asili yao hawa walikuwa wakulima na walikuja wakiufutilia mto nilembona inasemekana watutsi ni wabantu na si nilotics!?
Watutsi wana chembe chembe za ubantu lakin asili yao hasa wanatokea Northern Africa. Ndo maana unaona wamefanana na wamasai au wa'soutj sudan. Warefu wembaba na pua nyembamba.mbona inasemekana watutsi ni wabantu na si nilotics!?
Hatuhitaji kujua tulipotokea,tunahitaji kujua tunapokwendahuu Uzi mbona unamadini mazito hivyo lakini ajabu hauna wachangiaji !!?