mpiga domo
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 852
- 1,502
Heri ya Mwaka Mpya Great Thinkers,
Leo nimeamua kuja na huu uzi mahususi kwasababu ni mwisho wa mwaka na wengi wetu tunapenda kurudi makwetu. Wapare na Wachaga wataenda kwao Kilimanjaro, Wameru, Wambulu na Wamasai wataenda kwao Manyara na Arusha. Wasukuma, Wahaya na Wanyamwezi wataenda kwao Shinyanga, Bukoba, Tabora na Mwanza. Vile vile ndugu zetu Wanyakyusa watarud kwao Mbeya n. k nk. Kwahyo si vibaya tukajua sisi wote chimbuko letu ni nini hasa.
Lakini wengi wetu tumekua tukijivunia kurud ma'kwetu bila kujua sisi wote asili yetu ni moja. Watu wote wanaoishi East West and South Africa asili yetu ni moja na asili hyo ni BANTU. With exception ya makabila machache kama Wamasai, Watutsi ambayo asili yao ni NILOTIC. Na ukitoa wachache South Africa ambayo asili yao ni KHOISAN. Na ukitoa PYGYMY watu wafupi wa Congo. Na ukitoa watu kama wambulu ambao asili yao hasa ni AFROSIATIC
Sisi wote tunatokea West Africa maeneo ya Nigeria na Cameroon. Kutokana na ongezeko la idadi ya watu na kutafuta opportunities nyingine za ardhi kwa ajili ya Chakula tungaanza the great migration kutoka West Africa kuja Central Africa hadi ukanda wa Bahari ya East Africa na wengine wetu wakashuka hadi South Africa. Hii Great Migration ya Bantu people kutokea West Africa ilianza miaka 3,500 iliyopita.
Baadhi yetu walibaki Congo na kujiendeleza hapo na kufanya intermarriage na PYGYMY people, wengine wakaja Tanzania na Kenya wakachanganyika na kuoana na NILOTIC people waliotokea Sudan, South Egypt na Uganda na kutengeneza makabila kama Chagga, Sukuma, Nyakyusa, Masai, Pare n. k.
Wengine wakashuka chini wakaoana na KHOISAN na kutengeneza makabila kama Zulu, Ngoni na Shona and Ndebele.
Lakini ukichunguza asili yetu kabisa wote tunatokea Nigeria na Cameron. Na wote ethnicity yetu hata ki'genetics ni Bantu people.
Amani iwe nanyi katika kipindi hiki cha sikukuuu mkifiria mnapotokea.
Link hii hapa na mwenye kuongezea aongezee
[Bantu peoples - Wikipedia]