Ntambaswala
JF-Expert Member
- Dec 7, 2008
- 255
- 78
Wanajamvi,
Tuache uwongo hali ya CCM uchaguzi huu sio nzuri kabisa -mtu yoyote mwenye akili anaweza kuuona. Sual ni kwamba CCM inakabiliwa na upinzani wa aina mbili; yaani toka nje ya chama na ndani kwenyewe. Upinzani ndani ya chama umekuwa kimya sana lakini timu ya kampeni ya CCM inajua kuwa kuna silent opposition kubwa sana ndani ya CCM na hata katika serikali yake. Watu wengi wanaiunga mkono CCM mchana kuepeuka kufukuzwa kazi, kuonekana wasaliti, na pia kudumisha unafiki- ila nakwambia 31st Oktoba wengi wanaweza kupiga kura kwa upinzani.
Nimerejea kutoka LIndi na mtwara nilikuwa kwenye timu ya kampeni ya rafiki yangu anagombea kupitia CCM, nakwambia hali ni mbaya usiku tunapanga mikakati kesho yake tunaamka ishafika kwa CHADEMA. Issue ni kuwa hata timu yake ya ndani kabisa wanamsaliti wanasema angegombea upinzani lakini sio CCM
Pia wafanyakai ukiongea nao wanasema watamuenzi mzee Ngula, vijana wa mitaani na wafanyabiashara wasema ufisadi umezidi. CCM tunahitaji kujipanga ili kujinasua na hali hii, vinginevyo tutakuwa chama cha upinzani sasa hivi

Kweli hali ni mbaya niko hapa Arusha na Mh. Batlda ametoka kwenye kampeni,, anazomewa mbaya sana....
Sasa sijui huyu mama itakuwaje, ila kwa kuwa ameolewa zanzibar basi atarudi huko kumuhudumia mkewe..
Arusha Mjini Lema tayari ni Mbunge...

Naikia kwa iringa kuna maji,mbo kama 3 ivi yako hatarini kupokwa na CHADEMA mwaka wa mavuno huu

wakulu tushisherehekee kwanza. Let make them surprised kwa kuzisaka hata kura za wagombea wao. Lets do it.
Tuhakikishe tunaziba mianya yoote ya kuibiwa kura, tuhakikishe tunaabide na sheria na taratibu za kampeni maana bila hivyo tunaweza kutegwa mahala na ndoto zetu zikayeyuka. But niko confidently kuwa dr. Slaa ni rais wa tano wa tz.
Make way for the king