Asikuambie mtu kuoa ni raha

Asikuambie mtu kuoa ni raha

ujue nafuata mila na desturi za magonjwa yaletwayo na kucharaza almaarufu kugegeda magonjwa niliachana nayo na kama yalinikosa kwenye ndoa ile dhalili iliyonidhalilisha bila kosa huku kipaumbele kikiwa niache kazi nirud kulima ming'oko ikwiriri rufiji naapa takufa kwa magonjwa ya kawaida na ahadi ya muumba almaarufu Allah mpendwa collin kuwacharaza hawa ni haki yao kikatiba wasipocharazwa ni kuwatesa acha nijicharaziegee mie
Mkuu unahitaji tiba ya kiroho

Khaa [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu unahitaji tiba ya kiroho

Khaa [emoji23] [emoji23]
joseph shalua alijaribu kunipa tiba kwa bahati mbaya ile tiba ikanipa mzuka nikaenda kugegeda pale la chaaz kiroho siwez pona labda kimwili nipewe nanilieu nigegede japo kidogo
 
Mkuu mm sijajamnunulia wife hata baiskeli na love ipo fresh tu
Inategemea na fondation yako mkuu na aina ya mwanamke uliechagua
Wewe unasema baiskeli yote hiyo! hata tairi / tube hakuna na tunaelewana ile ile ahhahaaa
 
ujue nafuata mila na desturi za magonjwa yaletwayo na kucharaza almaarufu kugegeda magonjwa niliachana nayo na kama yalinikosa kwenye ndoa ile dhalili iliyonidhalilisha bila kosa huku kipaumbele kikiwa niache kazi nirud kulima ming'oko ikwiriri rufiji naapa takufa kwa magonjwa ya kawaida na ahadi ya muumba almaarufu Allah mpendwa collin kuwacharaza hawa ni haki yao kikatiba wasipocharazwa ni kuwatesa acha nijicharaziegee mie
Kipendacho roho
 
Wanakwambia kila bahati mbaya ina kheri yake, hata kwa hiyo dada aliyezingua nae ana kheri yake ktk maisha yake kivyake huko aliko
aende na kheri yake huko mi heri huku imekuwa kubwa sana mwaka huu matikiti yamekubali ssaaaana matikiti kudondokea
 
Anafikiri pale pahala huwa panakomoleka- hahahhhaaaaaaaa
mi sipakomoi napafanyia ukarabati tatizo mwanzon wanakuwa na watiifu sana wakijifungua mapenz yoooote anampa mtoto nikitaka kushika ziwa utasikia bby la mwanangu hili wewe halikufai ndo najiongeza natafuta linalonifaa
 
Back
Top Bottom