Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Wakija uniquot tafadhar
Wakija uniquot tafadhar
Hahaaaa. Lol.hajra wewe unanifaa sana njoo unifanye nipumzike na kuacha kbs micharazooo
Sawa rafiki.Wakija uniquot tafadhar
karibu duanian huku hakuna mazungumzo mambo yote ni kimya kimya vitendo na ishara tu na miguno ya mwasi ya kitoko kwenye elengiiiiiiiiii ya motoHahaaaa. Lol.
KabisaaaKwahiyo yy nimruke kwenye kutoa hii taarifa sio!
KabisaaaKwahiyo yy nimruke kwenye kutoa hii taarifa sio!
EwaaaaaMwaka wa nane huu mke wangu anazidi kuwa mtamu . Ni wanandoa wenyewe wanavoamua kuishi- wakiamua kuishi kama mashetani shauri yao, wakiamua kuishi kama malaika haya
Amesha rudi na uzi wa majuto huyu mkuuHongera sana Mkuu. Ila nitafurahi zaidi baada ya miaka 03 au 05 kupita utupe mrejesho kwamba hizo raha za sasa zipo, zimeongezeka au zimepungua.
Pia Kila la kheri Mkuu.