Suala la urais linaweza kuwa gumu kwa vigezo vya jinsia na dini. Kwa taratibu zisizo rasmi Rais ajaye anatarajiwa awe mkristu na ikiwezekana kutoka ZnZ.
Labda tuiweke hivi mkuu, tutamkumbuka kwa jambo gani alilolifanya alipokuwa UN hata tuguswe na kumpa urais. Sana asana walihalalisha mauaji ya Gaddafi.
Hawa jamaa itafikia siku watakuwa kama machizi barabarani wakiongelea CDM tu hata kazi washasahau hawa sijui wanaishije kama kila walionalo kwa watu hulihusisha na uchaguzi wa 2015. Hivi Jamaa za SLAA na Mbowe hawajawafunda kuachana na majungu kampeni zinapomalizika? hawaoni wao sasa hivi wamejimbia wanatafuna RUZUKU huku wakitunga nyimbo za kuingilia 2015?
Wako wachache, mmoja wapo ni Mbunge wa serikali ya Muungano Jimbo la Dole, Silvesta Mabuba. Sometime uwa anaonekana akiongoza vikao vya kamati vya Bunge-Dodoma.
.........acheni uvivu wa kufikiri, mukulu anataka atoke vipi? teh teh kama ile hoja dhaifu ya uspika gender(iliyomweka makinda) afu hana makundi hapo ndipo CDM tutaanza kushangilia ushindi mwanawane