Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
Vijana wa CDM wameanza kupaka matope
Sio zambi kurudi tanzania si kwao,kuna zambi gani utu kuja kwao
Nashangaa kumwona Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mheshimiwa Asha Migiro akiwa Tanzania na kutembelea Ikulu, sijajua kazi yake inamruhuku kurudi likizo kila mwezi Tanzania au Umoja wa mataifa una vipa umbele vya pekee kumtuma Naibu Katibu Mkuu wake kuja Tanzania? Au anaandaliwa kwa jambo jingine muhimu siku za usoni hapa nchini? Wiki alikuwepo Tanzania na kuonana na Mkulu kama picha inavyoonyesha.
HIVI VIATU VYA MKUU NDIO VILE ALIVYOLETEWA NA WAARABU WA KEMPINSKI AU??MAANA VIMEPINDA KIAINA.MKUU UZA NA ILE NYUMBA PALE KIGAMBONI WAKULETEE VIATU VINGINE ha;;