Asenga wa Pakaya
JF-Expert Member
- Jul 13, 2012
- 260
- 61
hii nimeikuta kwenye wall ya kijana huyu FB ikanivutia;ameandika;
BABA YAKE NA WAZIRI EMMANUEL NCHIMBI
( JOHN ALFONSO NCHIMBI )
ALIWASHITAKI MAHAKAMANI WANAFALSAFA 15 MASHUHURI DUNIANI AKIWAMO PLATO,ARISTLE,NYERERE,MACHIAVELLI NICCOLO NK.ktk kitabu chake alichokiita THE STRUGGLE OF IDEAS FROM PLATO TO NYERERE 1989.
PLATO alianza akala kiapo na kujibu mashataka yake, kabla ya kumaliza mashataka Yake mwanafunzi wake ARISTOTLE alikuwa akisimama na kuingilia akisema a...naswali,(alitatizwa na baadhi ya falsafa za mwalimu wake plato) vivyo hivyo wakati ARISTOTLE anajitetea MACHIAVELLI NICCOLO anasikika akisema mara kwa mara I HAVE A QUESTION
MWENDESHA MASHITAKA ANAWAKATALIA WOTE KUINGILIA KATI.
ILIPOFIKA ZAMU YA MACHIAVELLI NICCOLO, MAHAKAMANI PALIKUWA HIVIII, ALIANZA KWA KUAPA:
Magistrate ; take an aoth.
Prosecutor ; your name
Machiavelli ; Machiavelli Niccolo
Prosecutor ; age?
Machiavelli ; I was born in 1469 AD.
Prosecutor ; Tribe?
Machiavelli: Italian
Prosecutor ; Do you know diplomatic work?
Machiavelli ; Yes,i have done it
Prosecutor ; I want to discuss with you about your political ideas. Many people realise that you saw clearly the problems in Italy but you prescribed poison while trying to solve them.Do you accept such assertions?
Machiavelli ; NO
MAGISTRATE: Italy is the headquarters of the Christian Religion,what are your views on that Religion?
MACHIAVELLI; I respect it but I disagree completely religion interfering with political affairs.During my time the Christian religion authority claimed to have more authority over the affairs of the country than the government on ground that it represented God in this world.I regarded that as utter nonsense.The church and the state have different roles to play in the society..The church shoud not interfere with the affairs of the state and the state should,likewise,not interfere with the affairs of the church.
TUNAJIFUNZA NINI ? TUMEACHA MSINGI WA ITIKADI YETU YA UJAMAA ETI KISA TUNAVYAMA VINGI,.HAPA TUNAPO ANGUKA SIO TULIPOTELEZA .
WANASIASA WANAFANYA YA DINI NA WA DINI WANAFANYA YA SIASA, MWALIMU NYERERE KAMA MACHIAVELI HAWAKUBALIANI NA HII.
Tukipata muda tujifuze waliokuwa wanafikjri sana walifanya nn na kwanini!
Siku nyingine nitaandika kidogo mwalimu Nyerere alipofika mahakamani nae alisema nini