Kingmairo
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 4,936
- 3,549
wewe ni miongoni mwa wapuuzi humu. ungeyaelewa hayo mapendekezo ya Zitto usingeandika huu ujinga humu. kwa lugha ingine alichokisema zito ni kigumu kwa prof. muhongo kuliko hata kujiuzulu huo uwaziri. mbona nyie nyumbu mlimsema vibaya lowassa kwa miaka 8 halafu ndani ya wiki moja mkaanza kumsifia na kujichekeshachekesha mbele yake? mnapata wapi huo uthubutu wa kukosoa hata watu wenye upeo mkubwa kama wa Zitto? kwa tabia zenu hizi za kishoga tuna safari ndefu sana nchi hii. Mungu tu atusaidie.
Mpuuzi ni mama yako aliyekupa hizo akili ambazo unaona kila anayehoji vigeugeu ni mpinzani. Umekwepa kujibu hoja na kuleta maneno ya kisengerema, maanina zako. Unajifanya unajua kutukana lakini hapa ndo kituo makao makuu msengerema mkubwa wewe. Subiri sasa nikufurumue marinda kavukavu.