BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
yaani Katavi jana kuleta uzi tu
watu wameanza kudesa inteligently????
halafu wanadesa mpaka nukta!
yaani Katavi jana kuleta uzi tu
watu wameanza kudesa inteligently????
huyo ka-riverse kush ney !ingekua ni mimi angenijua tu bila kuuliza..
ila inamaana "ney kush" ndo jina lake halisi kumbe?!
so mzeiya ww jina lako halisi ni ney kush?
mhindi au??cjalickia hili jina bongo...
kama c lako basi hii ni cooked story
yani hilo jina mpaka dingi ananiita mpaka maticha wangu walikua wakiniita ndio maana ukiniuliza kwa haraka haraka nakutajia hilo(ila sio jina langu kamili)
Me too dear. Niko mbali si nilikuaga?
yaani Katavi jana kuleta uzi tu
watu wameanza kudesa inteligently????
Ngoja niwambie mi naitwa nehe.... Hiyo kush ni weed(bangi) kischool school camp yangu ndio tulikua tunatumia hivo vitu na me ndo nauza coz dingi alikua analima kule home wale wanaokujua tarime asa mi nilikua napewa naenda kuuza.........
ulikua unauza au unavuta?au vyote?
mana post yako inaonesha unavuta tena ile ya IRINGA.
yaani Katavi jana kuleta uzi tu
watu wameanza kudesa inteligently????
habari yako wifi?
Funny. Ha Ha Haaaaaa !!!!!!!!!!
Ulikuwa nae. Hukumuuliza. Kulikoni waja kuwa uliza watu jamvi?
Au this is your idea of boasting that you have met her at a Bakhres sale point?
Next time chiiiiil dogo.
wanaona ugumu kubadili hata idea ndogo.yaani Katavi jana kuleta uzi tu
watu wameanza kudesa inteligently????