Aseeeee yamenikuta mzee mwenzangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aseeeee yamenikuta mzee mwenzangu

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by ney kush, Mar 1, 2012.

 1. ney kush

  ney kush JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 839
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45
  Leo nilikua mwenge mida ya saa tisa jioni nikaingia AZAM wakati napata kinywaji kuna dada mmoja alikua pembeni yangu na cm yake aina ya blackberry asa yule dada akaniuliza jambo baadae tukazoeana tukawa tunapiga stori ... Sasa akaniuliza jina me na kimbelembele changu nikasema NEY KUSH looh yule dada akaanza kucheka huku anaangalia simu yake mi nikajua kuna jambo limemfuraisha katika simu.. Nikamuuliza vp akanambia nimesoma post yako jukwaa la MMU nikajifanya simuelewi akaniuliza au sio wewe nikamwambia sio mimi......... dah lakini ukweli ndio mimi YULE DADA SIJUI YE ANAITWA NANI HUMU
   
 2. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #2
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,564
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Teh ungemuuliza "wewe ndo Amyner??"
   
 3. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Funny. Ha Ha Haaaaaa !!!!!!!!!!

  Ulikuwa nae. Hukumuuliza. Kulikoni waja kuwa uliza watu jamvi?

  Au this is your idea of boasting that you have met her at a Bakhres sale point?

  Next time chiiiiil dogo.
   
 4. ney kush

  ney kush JF-Expert Member

  #4
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 839
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45


  Sio idea mzee... Asa sijui alikua ananicheka nilivyo au alifurahi kuniona
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Mar 1, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,138
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  yaani Katavi jana kuleta uzi tu
  watu wameanza kudesa inteligently????
   
 6. ney kush

  ney kush JF-Expert Member

  #6
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 839
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45
  Teh teh mkubwa nilipatwa na jasho ghafla aseeee ckua na cha kusema tena
   
 7. ney kush

  ney kush JF-Expert Member

  #7
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 839
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45
  Asa yanamtokea katavi si wengine hayawezi kututokea?
   
 8. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #8
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,564
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Unatulia tu...akikujua mtu mmoja si mbaya km ukijulikana na wengi tena wa karibu
   
 9. ney kush

  ney kush JF-Expert Member

  #9
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 839
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45
  Nimegundu humu kuna wasichana wazuriiiu sana
   
 10. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #10
  Mar 1, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Au ungemuuliza we ndiyo Smile ?
  au ndo Ndetichia?
  au Canta ?
  au Mwali ?
  au Kongosho ?
  au Husn ?
  Yote 9 !
  10
  au Jane sifuri 3 !
  Ungetusaidia sana uwelewesho kwamba ni katoto ! Au Jimama !
   
 11. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #11
  Mar 1, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  habari yako wifi?
   
 12. NGUVUMOJA

  NGUVUMOJA JF-Expert Member

  #12
  Mar 1, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,355
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Tujulishe jinsi ww na yy mlivyo ili tupate 'movie' kamili.
   
 13. Mabwepande

  Mabwepande JF-Expert Member

  #13
  Mar 1, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Aacha kamba mkuu.
   
 14. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #14
  Mar 1, 2012
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,141
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  Kama siamini vile!!
   
 15. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #15
  Mar 1, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,398
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 145
  ingekua ni mimi angenijua tu bila kuuliza..
  ila inamaana "ney kush" ndo jina lake halisi kumbe?!
   
 16. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #16
  Mar 1, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  twiny mimi miss u sana
   
 17. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #17
  Mar 1, 2012
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,141
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  Me too dear. Niko mbali si nilikuaga?
   
 18. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #18
  Mar 1, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,777
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Pole/hongera...
   
 19. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #19
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,513
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  jimama!.
   
 20. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #20
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,513
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  so mzeiya ww jina lako halisi ni ney kush?
  mhindi au??cjalickia hili jina bongo...
  kama c lako basi hii ni cooked story
   
Loading...