Acha kujidanganya Wanaume huwa ndio wanaofungua account za instagram nakujifanya niwanawake kwa kutumia majina yakike pamoja na picha zakike ili kupiga pesa hivyo hivyo kwenye magroup ya whatsappNinashangazwa saana na kasi ya wadada kuuza na wanaume kununua miili, ni kitu ambacho kinashamiri saana. Biashara hii hufanyikia kwenye mitandao ya kijamii kama instagram na makundi ya wasap! Hakuna mwenye uoga haswa katika kipindi hichi ambapo UKIMWI bado ni tishio, kuna magonjwa kama herpatite b! Yaani tena inafanywa kama vile ni kitu very normal, bei maelewano!! Inasikitisha saana, dada anayejiuza ukimwangalia huwezi kumdhania! Wengine ni wafanyakazi lkn pia wanajiuza.
Au ni dalili za kukata tamaa ya maisha na kukosa ndoto za kimaisha!?
huyu nae nani!!?Kila ukitaja UKIMWI huyu jamaa anacheeeka! [emoji849][emoji849][emoji849]View attachment 1017169
°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
Kuna kujisahau kuvaa condom, pia huwa zinapasuka, halafu some times zinavuka
Dr. Gallo
Dr. Gallo
Huwezi kuongelea Ukimwi bila kumjua/kumtaja huyo
°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
Kuna aina mbalimbali za makosa ila aliyegundua virusi vya UKIMWI alifanya makosa ya makusudi - JamiiForums
Kuna aina mbalimbali za makosa ila aliyegundua virusi vya UKIMWI alifanya makosa ya makusudi - JamiiForums
°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
Yupo hai bado!???Kila ukitaja UKIMWI huyu jamaa anacheeeka! [emoji849][emoji849][emoji849]View attachment 1017169
°°ᴶᵉᵃˡᵒᵘˢˢʸ ⁱˢ ᵖʳᵒᶜᵉˢˢ ʸᵒᵘ ᵍᵒ ᵗʰʳᵒᵘᵍʰ ᵇᵉᶠᵒʳᵉ ᵇᵉᶜᵒᵐⁱⁿᵍ ᵃ ʷⁱᵗᶜʰ°°
Ndio now aged 81Yupo hai bado!???
Asante kwa sahihisho