wiseman734
Senior Member
- Apr 29, 2018
- 137
- 210
Ninashangazwa saana na kasi ya wadada kuuza na wanaume kununua miili, ni kitu ambacho kinashamiri saana. Biashara hii hufanyikia kwenye mitandao ya kijamii kama instagram na makundi ya wasap! Hakuna mwenye uoga haswa katika kipindi hichi ambapo UKIMWI bado ni tishio, kuna magonjwa kama herpatite b! Yaani tena inafanywa kama vile ni kitu very normal, bei maelewano!! Inasikitisha saana, dada anayejiuza ukimwangalia huwezi kumdhania! Wengine ni wafanyakazi lkn pia wanajiuza.
Au ni dalili za kukata tamaa ya maisha na kukosa ndoto za kimaisha!?
Au ni dalili za kukata tamaa ya maisha na kukosa ndoto za kimaisha!?