Asee bar kuna pisi kali mno

Asee bar kuna pisi kali mno

Juzi kati , nipo zangu bar natia gambe , huku nikicheki game ya Manchester United, kupiga jicho nakutana na jicho la mtoto mkali kinouma.


Halafu kwa makusudi kabisa akasimama akatoka kwenda maliwato , huku akinikata jicho nakutingisha makalio yake mazuri na malaini mno.

Mwamba nikajikaza , mtoto kurudi akakaa , huku akiendelea kuniangalia jicho la uchokozi😋

Mzee wa kujilamba 🍺 kama kawaida yangu , nikamkonyeza ikaja tu automatically 🤗

Kacheka , ana vijishimo kwenye shavu , nikampa ishara ya kutoka nnje na yeye akatoka nikachukua namba , kwa sababu alikuja na mwamba , kimazingira ilikua ngumu😅

Kuwasialiana nae , kumbe ni mnsanzi wa kabila la khosa 🤗


Ndio najitafakari hapa nipige au niache🤣🤣 nikiwa najilamba kama kawaida yangu😋🍺, na kibubu kimejaa😅
Piga mwanetu.
 
Shosti umepotelea wapi siku hizi , umepata buzi/danga lipi limekufungia ndani hauonekan
Naona baada ya kukupa Dozi kwa ID yako ya mwanzo umeamua kuja na hii ID yako nyingine ukidhani Mimi ni Mpumbavu kama Wewe na Waliokuzaa hivyo sitokujua.
 
Back
Top Bottom