Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 53,936
- 100,233
Anaeleza hadi mechi ya Man U kama ipo live saa hizi!Tutakoma.Bwasheee Leo ume lewa mapema mno.
Anaeleza hadi mechi ya Man U kama ipo live saa hizi!Tutakoma.Bwasheee Leo ume lewa mapema mno.
Bwashee kaja na mwamba , nilivyoona chuma imenielewa , nikanyanyuka kucheza na pisi nyingine, kuvunga, aaaaah mimi mwenyewe mhuni tu bwasheeKama alikuja na mwamba maana yake utakula makombo. Vumilia aisafishe kama week hivi ndio uteleze
UKUMWI ni UKIMWI bwashee…Bondeni kila kona wanakulana kiholela.Kipi kikusikitishacho Bwashee 😅
Acha tamaa mwamba usije pigwa na shot😆😆Juzi kati , nipo zangu bar natia gambe , huku nikicheki game ya Manchester United, kupiga jicho nakutana na jicho la mtoto mkali kinouma.
Halafu kwa makusudi kabisa akasimama akatoka kwenda maliwato , huku akinikata jicho nakutingisha makalio yake mazuri na malaini mno.
Mwamba nikajikaza , mtoto kurudi akakaa , huku akiendelea kuniangalia jicho la uchokozi😋
Mzee wa kujilamba 🍺 kama kawaida yangu , nikamkonyeza ikaja tu automatically 🤗
Kacheka , ana vijishimo kwenye shavu , nikampa ishara ya kutoka nnje na yeye akatoka nikachukua namba , kwa sababu alikuja na mwamba , kimazingira ilikua ngumu😅
Kuwasialiana nae , kumbe ni mnsanzi wa kabila la khosa 🤗
Ndio najitafakari hapa nipige au niache🤣🤣 nikiwa najilamba kama kawaida yangu😋🍺, na kibubu kimejaa😅
SA kuna balaaa isingekuwa kuna matukio huko ningeenda kwa mission maalumu tu ya kuopoa . Wana colour flani hivi hadimu kuipata ila wengine vifupiBwashee ushawahi kutana na pisi za South Africa?
Juzi kati , nipo zangu bar natia gambe , huku nikicheki game ya Manchester United, kupiga jicho nakutana na jicho la mtoto mkali kinouma.
Halafu kwa makusudi kabisa akasimama akatoka kwenda maliwato , huku akinikata jicho nakutingisha makalio yake mazuri na malaini mno.
Mwamba nikajikaza , mtoto kurudi akakaa , huku akiendelea kuniangalia jicho la uchokozi😋
Mzee wa kujilamba 🍺 kama kawaida yangu , nikamkonyeza ikaja tu automatically 🤗
Kacheka , ana vijishimo kwenye shavu , nikampa ishara ya kutoka nnje na yeye akatoka nikachukua namba , kwa sababu alikuja na mwamba , kimazingira ilikua ngumu😅
Kuwasialiana nae , kumbe ni mnsanzi wa kabila la khosa 🤗
Ndio najitafakari hapa nipige au niache🤣🤣 nikiwa najilamba kama kawaida yangu😋🍺, na kibubu kimejaa😅
Hilo halina ubishi.Man u tutaua mtu kudadadeki🤣
Hongera sana.Tabaki humo bwashee👊👊👊Naelewa bwashee, mimi ni madau wa afya siwezi pata ukimwi kizembe tu
Hiyo hat trick yako inakupeleka moja kwa zote kupata kiatu cha dhahabu/baloondoo!Nataka nichape Hatriki kama Bruno 🤣
Sawa Tu. Haya Dereva mzuri alishasemaga hawezi pata ajaliNaelewa bwashee, mimi ni madau wa afya siwezi pata ukimwi kizembe tu
Huo ni usafiri wa umma, panda tuu ndo maana kila mmoja anakubaliwa.Bwashee ushawahi kutana na pisi za South Africa?
HahahaKama alikuja na mwamba maana yake utakula makombo. Vumilia aisafishe kama week hivi ndio uteleze