JAMHURI
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 449
- 60
Hakika nimefuatilia Asasi ya ECLAT Foundation, yenye makao yake makuu Kijiji cha Emboreti nimebaini mambo kadhaa na ina msaada kwa wananchi
Kwa sekta ya elimu, nimeshughudia ukarabati na kujenga miundombinu ya elimu maeneo tofauti nchini ambapo zimekaribia kufikia shule 20 zinakabidhiwa Serikalini baada ya kukamilishwa na Asasi hiyo kwa kushirikiana na wadao na wananchi
Maji nimeona mradi mkubwa wa kusafisha maji ya bwawa Kijiji cha Sukuro ambap umegharimu zaidi ya mil 200
Kuna vikundi vya ujasiria mali zaidi ya hamsini ambavyo viko katika hatua ya kunufaika na Asasi jambo ambalo ni zuri kabisa
Kama wananchi watatumia fursa hii vyema watanufaika na Asasi hii ambayo inasimamiwa na mtanzania mzalendo