Asanteni wanahabari kutuzimia maigizo ya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam

Anatumia migongo ya watu sasa hivi. Juzi kaenda kuwachukua wale wanoigiza ndani ya maigizo lakini pia wamefeli.
 
Hata huyo anayembeba naye nusu ya habari zake hawatoi hata front siku hizi wamempotezea wananqeka ukurasa wa 4 kwadababu muda mwingi anakuwa na mwanae DAB ndio maana akahamaki na kusema "watch it"
"not to that extent"
 
Natamani na yule mihemko alietuita watanzania vilaza na mashetani nae wangemkaushia..
Kidume suruali..
Mimi najua marehemu ana videmu 30..
duh
 
Hatua zilizochukuliwa na jukwaa la wahariri kumfungia mkuu wa mkoa wa Dar, yani kuamua kutoshirikiana naye. Kutoandika habari zake, kumetuliza nchi kiukweli.

Ni kitendo cha kizalendo, cha kuungwa mkono na kila mtanzania anayelipenda taifa lake na anayeitakia nchi yake mema. Tulikuwa na wasi wasi tusijue hatima ya jiji letu.

Tulikuwa hatujui baada ya operesheni zilizofail za shisha, omba omba, dada poa, kulala guest mchana, madawa ya kulevya angekuja na lipi jipya.

Kumbe nguvu ya mamba iko kumayi? Kumbe nguvu yenu ni vyombo vya habari? tumewajua!

SASA HIVI JIJI LIMETULIA!

Ahhhhhh mind mind. Now you here discussing him. Kwamba mnatambua kuwa mmeacha kumwandika ni dalili mnamtambua. Pili kazi wanafanyA Watu wengi na wala hazitoki magazetini .na bahati mbaya wtz negative news kwenu ndo news. So subirini sana. Inaonekana hamjui mnachotaka. Kwenu lolote mradi jipya. Ila sijaona Watu kama nyie mkaridhika kwa kuwa mna majibu ya kila kitu.
 
Ni kujidanganya tu. Makonda anadunda mzigo kama kawa na amepunguziwa msongo wa mawazo. Vyombo vya kipumbavu kama Tanzania Daima, Mwananchi, Nipashe, Mtanzania na Jamboleo, yalikuwa yakiangalia taarifa zenye urahisi wa kupotoshwa na kuzitoa kimtego na kuzua tafasiri nyingi potofu kwa jamii.
Kwa upande wa redio na televisheni zilikuwa zikialika watu makundi kwa makundi kuchambua kwa kuzipotosha kauli za Rc Makonda. Redio na Tv ambayo iliripiti vizuri habari za Makonda ni clouds.
Sasa hivi habari za Makonda hakuna wa kuzipotosha zimafika kama aliyokusuia. Dar iliyopungukiwa wa na mateja inaonekana. Mikakati ya kulifanya jiji kufanya biashara mpaka saa 6 usiku inaendelea na litaongeza uzalishaji na fedha ya kutoa huduma ya jamii.
 
hata waandishi wa habari wakimpotezea, haiondoi ukweli kuwa Bw. Paul Christian Makonda ndio mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam mpaka sasa. Haimaanishi kasimama kufanya shughuli zake za kila siku. Anaendelea na majukumu yake ya kiofisi kama kawaida.

mbona kuna wakuu wa mikoa wengi tu hawaandikwi na vyombo vya habari.? kwa Makonda ndio mmeona ishu kuuuuuuubwa..!!!

Mwacheni Makonda wetu apige kazi, hata wana habari mkijifanya hamyaoni nayoyafanya, ukweli ni kwamba mnayaona ila tu kwa roho mbaya zenu ndio mnajifanya hamuandiki. ila naamini mwishowe mtayaandika tu.
 
Hatua zilizochukuliwa na jukwaa la wahariri kumfungia mkuu wa mkoa wa Dar, yani kuamua kutoshirikiana naye. Kutoandika habari zake, kumetuliza nchi kiukweli.

Ni kitendo cha kizalendo, cha kuungwa mkono na kila mtanzania anayelipenda taifa lake na anayeitakia nchi yake mema. Tulikuwa na wasi wasi tusijue hatima ya jiji letu.

Tulikuwa hatujui baada ya operesheni zilizofail za shisha, omba omba, dada poa, kulala guest mchana, madawa ya kulevya angekuja na lipi jipya.

Kumbe nguvu ya mamba iko kumayi? Kumbe nguvu yenu ni vyombo vya habari? tumewajua!

SASA HIVI JIJI LIMETULIA!
Waandishi na wauza unga ndio wamefeli
Makonda hajaomba radhi
Makonda hakung'oka
Vyombo vingi vya habari vipo taabani na vinakosa sapoti ya matukio ya serikali kwa sasa,inabidi wayakimbize tofauti na zamani.
Guardian na Mwananchi wanapunguzana,Tanzania daima lipo hoi hata ofisi halina
 
hata waandishi wa habari wakimpotezea, haiondoi ukweli kuwa Bw. Paul Christian Makonda ndio mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam mpaka sasa. Haimaanishi kasimama kufanya shughuli zake za kila siku. Anaendelea na majukumu yake ya kiofisi kama kawaida.

mbona kuna wakuu wa mikoa wengi tu hawaandikwi na vyombo vya habari.? kwa Makonda ndio mmeona ishu kuuuuuuubwa..!!!

Mwacheni Makonda wetu apige kazi, hata wana habari mkijifanya hamyaoni nayoyafanya, ukweli ni kwamba mnayaona ila tu kwa roho mbaya zenu ndio mnajifanya hamuandiki. ila naamini mwishowe mtayaandika tu.
Yeye alitengwa kwa sababu zipi? kwa uchapa kazi wake?
 
Back
Top Bottom