Wakanzi ndio nini na wewe shemeji
Typing erro wakazi
Sio mara moja au mbili nakuona unaandika kinyumenyume
Mchunga ng'ombe huyo kiswahili atakijulia wapi?
Mashikolo mageni!!
Hahaa mchunga ng'ombe anaingia Jf..! Advancement kubwa kabisa hiyo
Usidharau kazi ya mwezio ili hali wewe unamaisha kama ya bwayu wayu wa jf.
Wakanzi ndio nini na wewe shemeji
huo ni mtazamo wako hunijui sikujui usiusemee moyo wangu,nilitegemea mrejesho chanya so tofaut ya nilichotegemea ndio maana nikassema niliosema
ulipoweka hili jamvini hukutegemea mitazamo tofauti toka kwa watu tofauti..???acha udikteta wa kishamba..eti usiusemee moyo..nia ya kuliweka hadharani nikujue nisikujue huwezi kunikataza kutoa mtazamo wangu..nina mashaka hata kama hili jina ''subiani'' umelielewa..usipanic comrade...