Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,401
- 465,249
MhAngeringa sana kuniona huko...
Natamani tu azianike hizo pm nikupe talaka
MhAngeringa sana kuniona huko...
Wenye moyo wa upendoKwa hiyo avatar yako ya 06:00pm iliwavutia wengi nadhani walitamani uwakaribishe 08:20pm.
Wengine tulionana wengine pichaUmejuaje kama ni wababa wa makamo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125]Kuna nnaowajua kama watano wagumu sana hao sana ,wengine uroho wa k utawamaliza
KwakwelWanaume wa Jf haoo hawataki masikhara.
KaribuMi sikuja huko pm nakuja
Hahah! mfate pm ukamshawish afunue hao watu...Mh
Natamani tu azianike hizo pm nikupe talaka
Apana siyo busaraWafunue tuwaone
Asantee sn usije ukanikataaKaribu
Kwa hiyo unajua wanaume wa humu wote ni wakosefu wanatafutwa na Usalama?Ukitaka kuwateka wanaume wa humu rahisi sana ,,natamani usalama wa taifa wangenipa hiyo kazi
Thnx myKaribu sn.Relax usiwaze sn.Tupo wengi wenye hali hiyo.
Aya poa endelea kuwasitiriApana siyo busara
Haha wala alafu mi nimuongeaji sana lakni kwenda PM kwa mtu hovyo sinaga hiyo tabia.Yaan kwa ninavyokujua haujakosa huko
Ndio wawaza ayo tuUmeshapata dushe au niingilie kati?[emoji53][emoji53][emoji53]
Just use dual aspect...for every debit entry there is a corresponding credit entry....chagua mmoja wapo nawe uende PM ili unyeshe kukubali moyo wa upendo aliokunyesha awali..show appreciation... Give something in return..Wenye moyo wa upendo
Hpn wala usihofu myMmmh mdogo mdogo hadi sms zao utatuwekea screenshot hapa
Mmh jomn shune, jus salam tuSijui mbebez wangu nae ni mmojawapo jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeanza basi nalog outHahah! mfate pm ukamshawish afunue hao watu...
Alafu umeshakuja ngoja niingie zangu chumbani
Hapo sawa kumbe unajielewaHaha wala alafu mi nimuongeaji sana lakni kwenda PM kwa mtu hovyo sinaga hiyo tabia.
Mi nampa go ahead atupie convo. zangu hapa
Hahaaaaaaa wasije wakamfisadi kipochi manyoya chakeJust awe makini tu wasije wakampanua.....