Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,642
- 112,511
Mbona haujajibu PM yangu....[emoji39] [emoji39][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona haujajibu PM yangu....[emoji39] [emoji39][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Labda wachache ndo wataangukia mtego wako. Lakini wengine [emoji123]Ukitaka kuwateka wanaume wa humu rahisi sana ,,natamani usalama wa taifa wangenipa hiyo kazi
Warahisi kivipi?Wengi wenu warahisi mno,,ila kuna baadhi wagumu wa kuhesabu [emoji23][emoji23] ngoja nifanye mpango thabiti wanitumie[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimewaza mbali sana......[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Karibu sana.
Hii ndio Jf ni zaidi ya Google kila kitu kinapatikana hapa.
Sasa kutongoza ni kitu cha ajabu? Ataaibika anaejidai 'msafi' kumbe huko PM ni fisi maji.Umesema kweli, hii mitongozo ya pm kuna mijitu huanika
The world is always changing nothing stays the same!Jf imekuwa na mkanganyiko sana siku huzi
Sawa.The world is always changing nothing stays the same!
Ndio hivyo mkuu inabidi tuvumiliane tu japo ni kweli jf imebadilika sana mpaka wengine tunaogopa hata kutumia id zetu za zamani.😀😀Sawa.
Mabadiliko
Mkanganyiko.
Kwa kweli.Ndio hivyo mkuu inabidi tuvumiliane tu japo ni kweli jf imebadilika sana mpaka wengine tunaogopa hata kutumia id zetu za zamani.😀😀
Sio Madume wote mayai mayai. Na watu wa kitengo wanatutembelea sana humu. Kuna mmoja alikuja anatafuta Mume.. nilimfanyia uchunguzi hadi nikajua ni nani na ana ndoa pia ni mtu wa kitengo.Ukitaka kuwateka wanaume wa humu rahisi sana ,,natamani usalama wa taifa wangenipa hiyo kazi
Just awe makini tu wasije wakampanua.....Wanaume wa Jf haoo hawataki masikhara.
[emoji23] mdomo wangu umebaki waziMbona haujajibu PM yangu....[emoji39] [emoji39]
Hahahaaa. Usitake watu wapate matumbo joto sababu hapatatosha hapa ujue. lol.Mmmh mdogo mdogo hadi sms zao utatuwekea screenshot hapa
tehteehhh.....[emoji12] [emoji12] [emoji12][emoji23] mdomo wangu umebaki wazi