msigwa2018
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 260
- 359
Tupe papa
Nikikupa nini?Rafiki mimi ukinipa wala siachi tena nitakushukuru sana!
MmmmhTupe papa
Penzi!...ila mradi uwe na chura!Nikikupa nini?
Mmh aya joo nikupePenzi!...ila mradi uwe na chura!
Chura ipo?Mmh aya joo nikupe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watu mnafikiria hatarKwa hiyo avatar yako ya 06:00pm iliwavutia wengi nadhani walitamani uwakaribishe 08:20pm.
Teh teh, wababa wa makamo tunajulikana.Huu msemo wa wababa wa makamo hata jana niliuona hivi mtu unamjuje kwamba ni baba wa makamo?
we mkaza jr aliye kuambia kwenda pm ni kosa nani huo ndio ushababi hakuna kuaibishwa.Kuna siku wanaume mtaabishwa humu maswala ya kwenda pm za wanawake patakuwa hapatoshi
We yako si umeifunga acha tukaponee kwa wenye akaunt za waziKuna siku wanaume mtaabishwa humu maswala ya kwenda pm za wanawake patakuwa hapatoshi
Hapa kazi tu... [emoji4] [emoji1]Wanaume wa Jf haoo hawataki masikhara.
Nahisi na mie ni mmojawapo kwenye hao wa 5Kuna nnaowajua kama watano wagumu sana hao sana ,wengine uroho wa k utawamaliza
Kabisa KabisaHapa kazi tu... [emoji4] [emoji1]
Nipo makini hiyo CCTV yako [emoji6] [emoji6]Naku zoom tu [emoji41][emoji41]