Asanteni sana wana JF hasa wanaume kwa ushauri

Asanteni sana wana JF hasa wanaume kwa ushauri

Jana niliweka bandiko la upweke thumuni likiwa ni uhitaji wa faraja,.

Kwakweli Jana nilienjoy nilifarijiwa sana yaani wababa wa makamo wana maneno mazuri jamani sijapata onaa!!

Yanii wanabembeleza kama tushajuana zamani, wanaushauri wa kimaisha yaani hakika nawaahukuruni sanaa. Yaani mawazo yoote niliyokua nayo yameishaa!

Hadi sasa bado wanaendelea kuja pm kunisalimia na kunipa pole, hakika nasema asanteni saana natafakari zawadi ya kuwapeni lakini siioni itakayo wafaa kwa pamojaView attachment 724639
Haya matangazo ya wadada kudai wanafuatwa PM naona yanazidi kuongezeka kila leo! Sijui hii nayo ni biashara mpya ndio inazuka?!
 
Back
Top Bottom