Katoto kadhuri
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 759
- 327
- Thread starter
- #61
Hapana siwez Fanya hivyoNimeiona PM niliokutumia na mimi... tehteehhh
Hapana siwez Fanya hivyoNimeiona PM niliokutumia na mimi... tehteehhh
Yaan kwa ninavyokujua haujakosa hukoWape papuchi hyo ndio zawadi nzuri pekee
Hahahaaa. Usitake watu wapate matumbo joto sababu hapatatosha hapa ujue. lol.
Hay sawaNilisema 'Kuna njia nyingi za kufikisha ujumbe....msg sent and delivered. Nilisahau kusema 'msg understood....'
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna siku wanaume mtaabishwa humu maswala ya kwenda pm za wanawake patakuwa hapatoshi
Sio mmojawapo wa walioenda huko pmWafunue tuwaone
Basi nijbu kwa PM, na roho yangu itapona...[emoji39] [emoji39]Hapana siwez Fanya hivyo
kwan ni makosa kushukur jomn?Yaan ni hatar hasa ukiangalia mleta mada ID yake ina cheo cha member hivyo hana cha kupoteza wala marafiki wa kumsema so anamwaga vizuri tu na kupotea zake
Umeonaeee. Anazimwaga pwaa halafu anawaachia sekeseke kwa naniliu zao. TehYaan ni hatar hasa ukiangalia mleta mada ID yake ina cheo cha member hivyo hana cha kupoteza wala marafiki wa kumsema so anamwaga vizuri tu na kupotea zake
Pm yko sijaonaBasi nijbu kwa PM, na roho yangu itapona...[emoji39] [emoji39]
kwan ni makosa kushukur jomn?
Nimekutumia aki....Pm yko sijaona
Mmmh aya poaZawadi usitoe kwa jumla toa kwa mmoja mmoja anza na mimi kwanza.
Kumbe nilichelewa Du! Ahsantee japo sikuja pm...Jana niliweka bandiko la upweke thumuni ikiwa ni uhitaji wa faraja,.
Kwakweli Jana nilienjoy nilifarijiwa sana yaani wababa wa makamo wana maneno mazuri jamani sijapata onaa!!
Yanii wanabembeleza kama tushajuana zamani, wanaushauri wa kimaisha yaani hakika nawaahukuruni sanaa. Yaani mawazo yoote niliyokua nayo yameishaa!
Hadi sasa bado wanaendelea kuja pm kunisalimia na kunipa pole, hakika nasema asanteni saana natafakari zawadi ya kuwapeni lakini siioni itakayo wafaa kwa pamojaView attachment 724639
Thnx myNashukuru kwa shukurani zako.Maneno mazuri yanatoka kwenye mioyo yetu mizuri ukianza kutoa zawadi usisahau kunitag
Ndio mawazo yakMbona ni bandiko la biashara. Kudanga in advanced way
Angeringa sana kuniona huko...Sio mmojawapo wa walioenda huko pm
Mmmh kumbeHe he he he
Naona mchezo wa wanaume kufungua accounts za kike umeanza tena.
Kaazi kweli kweli
Wala hata siyo kama unifikiliavyoHaya ila punguza kuchepuka ili ukipata mwingine asije kukuacha kama huyo