Asanteni sana wana JamiiForums

Asanteni sana wana JamiiForums

mnyakwetu

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
309
Reaction score
96
Kuna thread iliwahi kuwekwa hapa namna ya kujua kama mpenzi wako anakucheat.

Nilifuatilia namna ilivyochangiwa na watu wengi walitoa michango yao kwa namna wanavyofahamu, uamuzi niliochukua ni kufanyia kazi yale niliyoyapata coz na mimi nilikuwa mmojawapo wa wanaohisi kama wanadanganywa katika mapenzi, nilihisi hivyo baada ya kuona mpenzi wangu amebadilika kwa kila kitu.

Hakuna anachonisikiliza sikupata jibu, kuna siku niliamua kumwita sehemu na kujaribu kumweka sawa y ananifanyia hivyo, hakuna alichojibu zaidi ya kusema atajirekebisha, cha ajabu nikaona kama anazidi sasa, nilichofanya nilimwita tena nikaziomba simu zake zote mbili, hapo ukawa ugomvi mkubwa sana kwann nakagua simu zake.

Nilifanikiwa kunyang'aanya simu moja nikaangalia text, nilichokikuta Mungu anajua nilipomwuliza akadai ni rafiki zake tu wa kawaida, niliingiza namba zangu za simu kwenye simu yake nikajipigia nikaona amenisave jina la kike, utetezi wake haukuniridhisha, niliamua kuvunja simu zote mbili kwa hasira.

Kesho yake asubuhi niliamua kununua simu nikadownload ile kitu mspy, nikampelekea na kumwomba msamaha kwa yaliyotokea nikanyamaza.

Nikaendelea kumchunguza kama kuna mtu ana mahusiano nae, kweli nilianza kuona yale mawasiliano, nikayakusanya kama yalivyo, baada ya siku nne niliamua kumwambia ukweli wote na kumwonesha text zote na simu alizopigiwa, hakuweza kuamini kitendo kile lakini ndo ulikuwa ukweli wenyewe, hakuweza kukataa tena alikiri kuwa ni kweli ana mahusiano na huyo kijana mwingne.

Uamuzi wangu niliochukua nilimwambia sihitaji tena mahusiano kati yangu na yeye, alilia sana na kuomba msamaha lakini kiukweli moyo wangu umeshamtoa kabisa tena simhitaji.

Mpaka hivi sasa anajitahidi kuomba msamaha na kuahidi kwamba hata niumiza tena, lakini hofu yangu naona atarudia tu na sitaki kupata presha tena za namna hii.

Shukrani sana kwa aliyotoa ile thread kweli JF ni kila kitu.

Asanteni
 
Safi,piga chini mtu anayeendekeza michepuko. Kwa hiyo uko free na unakaribisha maombi? Najua MMU wapo watu wa dizaini yako wanaweza kuomba post..!


Kuna thread iliwahi kuwekwa hapa namna ya kujua kama mpenzi wako anakucheat,
Nilifuatilia namna ilivyochangiwa na watu wengi walitoa michango yao kwa namna wanavyofahamu,
uamuzi niliochukua ni kufanyia kazi yale niliyoyapata cz na mimi nilikuwa mmojawapo wa wanaohic kama wanadanganywa katika mapenzi,nilihic hivo baada ya kuona mpenz wangu amebadilika kwa kila kitu,hakuna anachonisikiliza sikupata jibu,kuna siku niliamua kumwita sehem na kujaribu kumweka sawa y ananifanyia hivo,hakuna alichojibu zaidi ya kusema atajirekebisha,cha ajabu nkaona kama anazidi sasa,nilichofanya nilimwita tena nkaziomba sim zake zote mbili,hapo ukawa ugomvi mkubwa sana kwann nakagua simu zake
Nilifanikiwa kunyang'aanya sim moja nkaangalia text,nilichokikuta Mungu anajua nilipomwuliza akadai ni zafiki zake tu wa kawaida,niliingiza namba zangu za simu kwenye cm yake nkajipigia nkaona amenisave jina la kike,utetezi wake haukuniridhisha,niliamua kuvunja simu zote mbili kwa hasira
Kesho yake asubuhi niliamua kununua sim nkadownload ile kitu mspy,nikampelekea na kumwomba msamaha kwa yaliyotokea nkanyamaza,
Nikaendelea kumchunguza kama kuna mtu ana mahusiano nae,kweli nilianza kuona yale mawasiliano,nikayakusanya kama yalivo,baada ya siku nne niliamua kumwambia ukweli wote na kumwonesha text zote na sim alizopigiwa,hakuweza kuamini kitendo kile lakini ndo ulikuwa ukweli wenyewe,hakuweza kukataa tena alikiri kuwa ni kweli ana mahusiano na huyo kijana mwingne,
Uamuzi wangu niliochukua nilimwambia sihitaji tena mahusiano kati yangu na yeye,
Alilia sana na kuomba msamaha lakin kiukweli moyo wangu umeshamtoa kabisa tena simhitaji,
Kpaka hivi sasa anajitahidi kuomba msamaha na kuahidi kwamba hata niumiza tena,lakin hofu yangu naona atarudia tu na sitaki kupata presha tena za namna hii
Shukrani sana kwa aliytoa ile thread kweli jf ni kila kitu.
Asanteni
 
Mkuu wewe songa tu mbele kama injili.

Anavyosema hatorudia... kama ni mtu aliekua anajutia kweli toka unagombana naye tayari angeshakiri na huahidi kurekebika na pengine kufanyia kazi yaliyoyababisha yeye kukuibia..... amesubiri hadi umejua kwa njia zako ndio anakiri sasa. Hapo anakuzuga tu mkuu

Kifupi kurudi nyuma ni kujipalia mkaa... ila uchaguzi unao wewe kuchagua hisia au kuukubali uhalisia wko na kusonga mbele.

Kpaka hivi sasa anajitahidi kuomba msamaha na kuahidi kwamba hata niumiza tena,lakin hofu yangu naona atarudia tu na sitaki kupata presha tena za namna hii
Shukrani sana kwa aliytoa ile thread kweli jf ni kila kitu.
Asanteni
 
Pole zako nyingi na hongera zako kwa kufuatilia thread hapa jamvini iliyokuwezesha kukupa maujanja ya kumfuatilia aliyekuwa mrembo wako na hatimaye ukagundua kwamba si mwaminifu.
 
keep it up boy!!!
sifa ziwaendee kwa waliochangia thread vizuri maana kuna wengine humu weja mbali na watoto!!!
 
Back
Top Bottom