Asanteni sana wana JamiiForums

Asanteni sana wana JamiiForums

Kwanza inabidi ufungue account mspy itakayokuweza kupata taarifa zote za mlengwa
Pili inalipiwa $39.99 monthly
ukitaka primium pia ipo hiyo unapata mpaka text za whatsapp na blog alizotembelea na pics alizopiga,locations,nk
Ukishafungua account watakupa code namba utakazoingiza kwenye target device ukishadownload mspy
Mambo yote yanakuwa swari.

Hapa najua Khantwe hatauliza tena....
 
Last edited by a moderator:
Kwa style ya wachangiaji wa uzi huu, kila mtu ana wasi wasi kuwa anachepukiwa. Huwa najiuliza, if nipo na Suzy, then nachepuka kwa Helena, ina maana Helena ananivutia zaidi y Suzy, kwa nini nisiende kwa Helena? Na nikienda kwa Helena, Doreen hatanivutia tena? Hii matrix hatari sana!
 
Kuna thread iliwahi kuwekwa hapa namna ya kujua kama mpenzi wako anakucheat.

Nilifuatilia namna ilivyochangiwa na watu wengi walitoa michango yao kwa namna wanavyofahamu, uamuzi niliochukua ni kufanyia kazi yale niliyoyapata coz na mimi nilikuwa mmojawapo wa wanaohisi kama wanadanganywa katika mapenzi, nilihisi hivyo baada ya kuona mpenzi wangu amebadilika kwa kila kitu.

Hakuna anachonisikiliza sikupata jibu, kuna siku niliamua kumwita sehemu na kujaribu kumweka sawa y ananifanyia hivyo, hakuna alichojibu zaidi ya kusema atajirekebisha, cha ajabu nikaona kama anazidi sasa, nilichofanya nilimwita tena nikaziomba simu zake zote mbili, hapo ukawa ugomvi mkubwa sana kwann nakagua simu zake.

Nilifanikiwa kunyang'aanya simu moja nikaangalia text, nilichokikuta Mungu anajua nilipomwuliza akadai ni rafiki zake tu wa kawaida, niliingiza namba zangu za simu kwenye simu yake nikajipigia nikaona amenisave jina la kike, utetezi wake haukuniridhisha, niliamua kuvunja simu zote mbili kwa hasira.

Kesho yake asubuhi niliamua kununua simu nikadownload ile kitu mspy, nikampelekea na kumwomba msamaha kwa yaliyotokea nikanyamaza.

Nikaendelea kumchunguza kama kuna mtu ana mahusiano nae, kweli nilianza kuona yale mawasiliano, nikayakusanya kama yalivyo, baada ya siku nne niliamua kumwambia ukweli wote na kumwonesha text zote na simu alizopigiwa, hakuweza kuamini kitendo kile lakini ndo ulikuwa ukweli wenyewe, hakuweza kukataa tena alikiri kuwa ni kweli ana mahusiano na huyo kijana mwingne.

Uamuzi wangu niliochukua nilimwambia sihitaji tena mahusiano kati yangu na yeye, alilia sana na kuomba msamaha lakini kiukweli moyo wangu umeshamtoa kabisa tena simhitaji.

Mpaka hivi sasa anajitahidi kuomba msamaha na kuahidi kwamba hata niumiza tena, lakini hofu yangu naona atarudia tu na sitaki kupata presha tena za namna hii.

Shukrani sana kwa aliyotoa ile thread kweli JF ni kila kitu.

Asanteni
Mkuu huo uamuzi uliochuku ni SAHIHI sana na wewe tunakushukuru kwa kuleta mrejesho...asee usirudi nyuma utakuwa jiwe la chumvi
 
Hiyo thread nakumbuka iliwekwa hapa na Godfrey Electronics kwa bahati mbaya siioni tena. ila nilisema mimi kuna watu watakufa na Presha but Nashukuru Mungu uko mzima.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu tunashukuru kwa mrejesho. Naomba utuandalie kigodoro kama shukurani kwetu.
 
Hongera sana mkuu kwa kufanikiwa. Basi angalao toa sadaka kidogo kwa JF kwa kuwa inasaidia wengi wanaoichangia na wale wasioichangia pia. Niko mbioni kuchangia sijapata tu muda wa kwenda. Unga mkono JF, Kila la heri.
 
Kumbe ndio wewe pole sana umejisumbua tu huyo Demu ni wa jamaa kitambo sana... na hawawezi kuachana maana jamaa ni mvumilivu wala hajali akigongewa... kumbe simu uliivunja yeye alituambia kuwa simu yake ni mbovu mara akasema umenunulia mpya na huwa anakuita Mbuzi
 
hawezi kudumu kwenye uhusiano na mwanamke yeyote duniani kwa njia hii ya kukagua cm ya mwanamke

Mkuu hata wewe ingekuuma tu kuona mwenzako amechange ghafla,na sijawahi kugusa sim zake takribani mwaka na miez nane ila ilinilazim baada ya kuona mabadiliko makubwa sana.
 
Aisee umenifungua macho nahisi Mume wangu kafanya hii kitu , before alikuwa ananituhumu sana na kunishukushuku lakini kama miezi miwili hivi alijifanya kasahau simu yake ofisini na akaomba kutumia simu yangu eti anaapointment na wenzie na akaondoka nayo , alirudi usiku akiwa na raharaha hivi , baada ya hapo naona kunishuku kumekwisha na Mapenzi yamezidi yaani kama ndio tunaanza vile ...sasa nilidhani kaamua kubadilika ila sasa umenipa picha aisee kuna mchezo unaendelea ...
 
Kwan we unachepuka??hofu ya nn kama uko poa ataona vitu vya kawaida tu
 
Back
Top Bottom