Asanteni sana Pilot na Crew wa JamiiForums

Setfree

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2024
Posts
5,527
Reaction score
7,121
Safari yetu katika ndege hii ya "JF Airlines" inaendelea vyema mno. Abiria tunajisikia raha kwa sababu hatusikii mawimbi wala mitikisiko ya kututia hofu. Yote hii ni kwa sababu ya uongozi imara wa Captain wetu DoubleM pamoja na crew wake mahiri wanaojituma kuhakikisha kila abiria anafurahia safari.

Nawashukuru kwa namna mnavyoongoza ndege hii kwa hekima, upendo na uvumilivu, kuhakikisha kila mmoja anafika anapokusudia bila matatizo. Bila nyinyi, safari hii isingekuwa yenye furaha na utulivu kama ilivyo sasa.

Ndugu abiria wenzangu, msisubiri mpaka ndege itue ndio mshukuru. “Shukuruni kwa kila jambo; maana hayo ndiyo mapenzi ya Mungu kwenu katika Kristo Yesu.” (1 Wathesalonike 5:18)

May the Lord watch over every passenger on this plane, and grant us a safe journey.

JF Airlines.jpg
 
Tupaze sauti wote kukemea jaribio hilo la ubinyaji wa haki za kutoa maoni
 
Safari yetu katika ndege hii ya "JF Airlines" inaendelea vyema mno. Abiria tunajisikia raha kwa sababu hatusikii mawimbi wala mitikisiko ya kututia hofu. Yote hii ni kwa sababu ya uongozi imara wa Captain wetu DoubleM pamoja na crew wake mahiri wanaojituma kuhakikisha kila abiria anafurahia safari.

Nawashukuru kwa namna mnavyoongoza ndege hii kwa hekima, upendo na uvumilivu, kuhakikisha kila mmoja anafika anapokusudia bila matatizo. Bila nyinyi, safari hii isingekuwa yenye furaha na utulivu kama ilivyo sasa.

Ndugu abiria wenzangu, msisubiri mpaka ndege itue ndio mshukuru. “Shukuruni kwa kila jambo; maana hayo ndiyo mapenzi ya Mungu kwenu katika Kristo Yesu.” (1 Wathesalonike 5:18)

May the Lord watch over every passenger on this plane, and grant us a safe journey.

View attachment 3466043
Nilichogundua, wewe ni bendera tu fuata upepo. Huna lolote.
 
Abduli anatutaka sisi members akatufanyie mambo yake Yale ya mauaji, nyuma etc , Sasa ametumia watu wamteke melo Ili atoe taarifa zetu Abduli atukamate tuache Kusema ukweli
Usitutoe nje ya mada, watu wakasahau kumshukuru Pilot na Crew wa JF
 
Back
Top Bottom