Asanteni sana Kwa Upendo na faraja

Asanteni sana Kwa Upendo na faraja

Pole sana kaka, Mungu akakufariji nyakati hizi ngumu .
 
Habari !
Natoa Shukrani Kwa wote Kwa faraja na ushirikiano ambazo nimeupata kutoka kwenu.

Kilicho fanya furaha yangu kukamilika katika maisha, kuja na kuondoka ( G & G ), imenitesa ila nimeikubali pia ili maisha mengine yaendelee.

Asanteni sana, siwezi taja majina ya mmoja mmoja ila nita mtaja huyu member Glenn kwasababu neno lake ambalo alinipatia leo mchana lilinitafakarisha (baada ya yeye kulitafakari pia Jana usiku) lime nifundisha kitu ambacho nilikuwa nimesahahu.

Usiku mwema na asanteni Kwa UPENDO
Mungu awatie nguvu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom