Asanteni sana Kigoma-Dr Slaa.


Umoja Ndio fahari yetu, Undugu ndio Nguvu, Chuki na Ukabila hatuvitaki hata kamwe, Lazima tuungane,Tuijenge Nchi yetu, Asiwe hata mmoja,Anayetenganisha,Tunaishi na Tumaini. Nategemea Daima Tanzania, Hekima yetu ni Siasa iliyo safi Daima mimi Mtanzania Mwananchi Mzalendo, Kwa huzuni na Mateso Chadema wameteswa, Hawakushtushwa na risasi hawakushtushwa na Mijeledi, Nia yao Ukombozi. Chadema Daima.
 

Maneno Mazito sana haya!
 
Dr. kwa hili wewe ni Prof. kwa mamalaka yangu binafsi nakutunuku uprof wa heshima. wewe ni 10 tanzanian professors together
 


Maneno mazito sana sana kaka .Yamejaa hekima , utu , heshima, Utanzania na ubinadamu .
 
katibu mkuu wa chadema dk. wilbroad slaa amehitimisha ziara yake kigoma kwa ushindi mkubwa pamoja na kwamba kulikuwa na changamoto nyingi kumzuia kufanikisha mpango huo wa kukijenga chama kutokana na njama chafu za ccm.?
Mimi binafsi sipendi kufanya kazi isiyo na changamoto kwani naamini changamoto inanijenga zaidi mimi binafsi pamoja na taasisi ninayoifanyika kazi.

Hongera DR. tunatangulia Singida utatukuta.
 
Ni kawaida kwa wapigania ukombozi kuwa na ujasiri kuzidi wale wanaoongozwa, ili uwe shujaa lazima uonekana kama shujaa na utende kishujaa, na ndicho DR.SLAA anachotenda leo, hawezi kuingia kwenye historia ya kundi la kina mandela na the likes, kama hawezi kuwa tofauti na wale anaowangoza ktk mapambano.Mandela alipewa offer ya kuachiwa huru kama angekubali kuacha harakati za ukombozi lakini alikataa akakubali kuwekwa gerezani. kwa upande wa DR.SLAA juzi kaambiwa kigoma hakuko shwari kwa sasa atauawa, alisema hawezi kubadili ratiba iliyopangwa na chadema Taifa yeye ni mtumwa wa chadema.
Hakika huyu anajiandaa kuingia kwenye kundi la wakombozi wa Afrika, kwani anaonekana kuwa.
 
Binafsi niwapongeze vijana wa RED BRIGEDE kwa kusimama imara na kumuhakikishia Dr slaa na giji wa siasa tza usalama
 
Hongera Dr slaa kwa ukomavu wa kisiasa hukujali vitisho vya magamba,wameishia kuandika propaganda kwenye magazeti.
 
Binafsi niwapongeze vijana wa RED BRIGEDE kwa kusimama imara na kumuhakikishia Dr slaa na giji wa siasa tza usalama

Walifanya kazi nzuri sana.

Kwa kweli hata pilisi wa Kigoma walifanya kazi nzuri.Dr Slaa alilindwa kama Rais alivyoingia Kigoma mjini.
 

Hakika sikushangaa wanaKigoma walipomtangaza kwamba ni Simba wa Tanzania.
 

Maneno mazito yenye kutia moyo sana!
 
Asanteni wana Kigoma kwa kuwakaanga wasaliti!
 
kila siku nawaambia ccm kwamba,hila zao wanazozifanya ndio zinaipaisha chadema hawanisikii,lakini kwa kuwa ccm ni sikio la kufa hawaelewi ninalowaambia, nawaambia tena kadri watakavyofanya kuingilia mgogoro wa zito na chadema ndivyo watakavyoipaisha chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…