Asanteni sana Kigoma-Dr Slaa.

Simba wa Yuda hua hatishiki kwani anajua yaliyopita ya sasa na yajayo. Na hua mwenye ujasiri ndie atakae iongoza nchi hii kwani tumeona hapo nyuma wakina Nyerere, mandela na wengine wengi waliokwisha ongoza nchi za kiafrika walikua ni majasiri kwa kupambana na makaburu na watu ambao walikua wadhalimu hatimae wakawashinda wadhalimu hao. Kwahio Doctor Slaa ni miongoni wa mashujaa hao.
 
...Mkuu hapo umenikuna. Na hapo ndipo ninaposhindwa kuielewa dhamira ya akina Dr Kitila kuleta mvurugano katika kipindi sensitive kama hiki. Na kwa kweli ukiangalia uwezo wao kiakili - hili ndilo linalothibitisha kabisa kuwa walitumwa kuiharibu CHADEMA kipindi ambacho CHADEMA haitakuwa na muda wa kutosha kujipanga upya kuikabili CCM miezi michache ijayo. Hawa ndio wanaojidai kuwa ni wasomi, wakati hawana tofauti na dadapoa wanaouza utu wao kwa vipande vya pesa. AIBU!
 
Let's get on

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Molemo anajitahidi sana kumlisha maneno Dr Slaa. Hakika ziara yake imetonesha majeraha ya wana kigoma kutokana na mipango ovu dhidi ya kijana wao
MSUKULE

Mwenzangu ni msukule!
Anawaza kimsukule!
Anaandika ili ale!
Watoto wasipige kelele!
Ma------ni ana chale!
Zilizomgeuza akili!
Anawaza kwa vidole!
Kamanda siwe mpole!

Kuna viwango vya misukule!
Hiki ndio cha kilele!
Shime shime ishimile!
Tuunusuru msukule!
 
Binafsi nilipata mashaka makubwa sana na nikawa najiuliza uliza busara ya Mh Slaa kwenda Kigoma. Lakini kadiri nilivyofuatilia nikagundua kumbe kiongozi hapaswi kuogopa, hapaswi kuacha kusudio lake kama nia ipo, huwezi ukarudi nyuma kwa kutishiwa. Na sasa nawaza tena kama mojawetu hapo juu ingekuwa ameahirisha ziara ile kule Kigoma, wapinzani wake wangempachika jina gani. Kwa sasa lazima wakubali yeye ni SIMBA DUME - bora kufia vitani unapigana!
 
anaweza kupora wake za watu, kuvunja ndoa za majirani (mf ya mahimbo), kuendesha chama kikoloni na kupika majungu

Alishawahi kukupora mke wako na vipi alikurudishia,au alishawahi kumpora baba yako mke i mean mama yak
 

hivi inawezekana mtu anakuulia mtoto halafu anakuja kukupa pole.
 
sixgates uko wapi...??
Sipati picha saa hizi ulikojificha, inaweza kuwa umekimbilia Congo (DRC)..!!
Hii inaleta Taswira gani..?? Hasa kwa wewe na 'mtabiri' wenu Kimbunga...??
Poleni sana akina Ritz, ZeMarcopolo na wengineo...
Oooppps, nilikuwa nimemsahau 'shangazi' yenu FaizaFoxy... msalimieni sana..!!

 
Last edited by a moderator:
nakumbuka miaka ile ya mwinyi baada ya tishio tu pale UDSM hakuwahi kukanyaga hadi leo. mwoga mwingine ni Jk, kama kuna watu wanajua amewahi kwenda UDSM mara ngapi waseme, mimi nakumbuka mara mbili tu kwa kipindi cha miaka 8. yaani marekani ameenda mara nyingi sana kuliko hata baadhi ya mikoa ya Tanzania achilia mbali UDSM

kwa ukomavu wa Dr Slaa, anastahili jina la Simba wa Tanzania, Hongera DR.
 
Molemo anajitahidi sana kumlisha maneno Dr Slaa. Hakika ziara yake imetonesha majeraha ya wana kigoma kutokana na mipango ovu dhidi ya kijana wao

Ambacho hujakielewa ni kuwa hata wana kigoma walianza kuiona tofauti ya Zitto wa mwanzoni na namna alivyoanza kubadilika baadae, nimeongea na washkaji zangu wengi wanaotokea kigoma ambao hata kabla dr Slaa hajaenda wao walikuwa wanaamini dr.atapokewa vizuri tu kigoma kwa sababu watu tayari walikuwa na mijadala yao kuhusu mwenendo wa Zitto ndani ya chama chake na hata hivyo wachache kutoka Ccm, Cuf na wengine wenye imani za kidini ndo waliojitokeza kutaka kuharibu ziara ya dr Slaa
 
Bora yeye anayekula faida ndogo kuliko wanao chukua mali asili zetu (MTAJI)kuwapa wachina na wawekezaji feki kwa mikataba inayo nufaisha wageni na si Watanganyika jitambue
gwiji la majungu na kula ruzuku za chama
 
Dr. Slaa - Rais anayeongoza watanzania kwenye mioyo yao.

Hongera sana wanakigoma kwa mapokezi ya Rais wetu mpendwa!

Big up sana kwa Dr. Slaa na timu yake ya mafanikio

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Mmmh! Ukiona babu Slaa, weka mbali wake za watu

ni kweli mkuu kwani hata mama yako ulishamwambia akae mbali na babu?!!

au yeye ni mjane?!!

huna adabu kabisa wewe kijana, unampangia mama yako watu wakummega?!!!

we kijana laana kweli kweli.

heshima ni jambo la busara usipo heshimu wenzako nawe kamwe hutoheshimiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…