Dibo10
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,331
- 1,636
Pole sana mdada,Nimefurahi kukuona tena jukwaan japo kutusalimu.Nilikuja kuwapa hi, bado sijaruhusiwa kutumia simu muda wote. Muda huu mchache niliopata nikaona sio mbaya niwashukuru.
Pole sana mdada,Nimefurahi kukuona tena jukwaan japo kutusalimu.Nilikuja kuwapa hi, bado sijaruhusiwa kutumia simu muda wote. Muda huu mchache niliopata nikaona sio mbaya niwashukuru.
Mni cc jamn jamvi likianzaNdugu uzi umefungwa naona ushamaliza kuandika notice [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
karibu tenaHabari zenu wana jf,
Kwanza napenda kutoa shukrani zangu, mimi pamoja na familia yangu na rafiki yangu kipenzi maserati, asanteni sana kwa maombi yenu yaliyonifanya sasa nipo hapa, kutoka kutojitambua zaidi ya week 2 mpaka sasa naweza kusoma baadhi ya comment zenu,
Asanteni sana jf family.
Nawapenda.
hahaha shunie nawe hujambo ktk sekta ya kupalilia ubuyu,Ndugu uzi umefungwa naona ushamaliza kuandika notice [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] mwanamke umbea etiiiiihahaha shunie nawe hujambo ktk sekta ya kupalilia ubuyu,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mni cc jamn jamvi likianza
nshamaliza njoo [emoji57] [emoji57] [emoji57] sikuambii mpk uninunulie mishikakiNdugu uzi umefungwa naona ushamaliza kuandika notice [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi unajua uzi umefungwa lakini na ban kama zimeanza kutembeanshamaliza njoo [emoji57] [emoji57] [emoji57] sikuambii mpk uninunulie mishikaki
Sent from my ZTE Kis3 max using JamiiForums mobile app
Asante sana
Asante sana kakaPole sana mdada,Nimefurahi kukuona tena jukwaan japo kutusalimu.
Amenkaribu tena
Mungu apewe sifa
[emoji15] [emoji15] [emoji15] njoo pm huku hakufai hukuu[emoji125] [emoji125] [emoji125]Hivi unajua uzi umefungwa lakini na ban kama zimeanza kutembea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji15] [emoji15] [emoji15] njoo pm huku hakufai hukuu[emoji125] [emoji125] [emoji125]
TumefarijikaNilikuja kuwapa hi, bado sijaruhusiwa kutumia simu muda wote. Muda huu mchache niliopata nikaona sio mbaya niwashukuru.
hahahaaa...hako ka avatar kazuri kweli...shoga leo kila kona wanatureport!!Mnikaribishe na mimi basiii